Wapinzani ni wagonjwa wakubwa kiakiliYoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.
Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.
Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.
Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Ndiyo maneno ya msomi hayo kabisa. Endelea na wateja wako hapo wa kwato na vichwa.Wewe ukiwa hata na diploma nikijua hicho chuo kilichokupa nakifuta.
Ulipewa akili na Mungu ya nini? Unataka ibuniwe kazi ya kufanya?kazi gani unayo himiza wewe ili tuungane pamoja kufanya![emoji24] mana biashara haziendi mzunguko wa pesa hakuna mtaani, mahindi ndo gunia 36000/. Anamtakia nini masikini kama si kumuua kabisa? Labda wewe tuambie kazi unayo manisha[emoji24]
Yoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.
Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.
Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.
Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Masoko ya nje yako wazi.....hutaki kazi na hutaki kuzalisha utauza hewa uko nje?Mauzo nje yamepungua kwa 46%, je hiyo ni sehemu ya hiyo nia njema? Hii rushwa korofi nayo ipo kwenye hiyo mipango yake mizuri?
Naona hakuna ulichoandika zaidi ya hisia zako tu chafu na matusi na dhihaka na uchama uchama wakati wengine hata sio CCM.Yan uyu jamaa anaye jiita tramadol# nauonaga kama bwege bwege flan ivi# kama kibushuti au baasha flani ivi# yani yeye uwa atoi uchambuzi bali ana uccm mwingi# na kama kweli uko chuga namashaka may be mke wako atakua kakupeleka kwa sangoma# unafikiria kwa kutumia akili za limbwata# tutolee mambo yako ya lumumba# kwa mada uliyo weka apo ina maana maraisi walio pita walikua hawana nia ya dhati?...au ndo ushwaini # vp kwani madikteta wenginr uwa awana nia ya dhati na kuzisaidia nchi zao?
''wako wapi?... wako wapi?.... wapi mtu wenyu...? PAMMBAAFFFFF KABISA NYIE!!!😎😎Yoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.
Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.
Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.
Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Ndio ni hisia zangu# ulitaka ziwe hisia za lumumba# acha mambo ya ndumila kuwili kiongozi..u uzi wako na uchafu tu maana naona akuna hoja apo ya msingi # zaidi ya bla blaNaona hakuna ulichoandika zaidi ya hisia zako tu chafu na matusi na dhihaka na uchama uchama wakati wengine hata sio CCM.
Una thread za kijinga sana..zisizo endelevu wala kujenga jamiii zaidii ya uongo uongo!mumeo unayemsifia anatusaidia nin ASA wananchi masikin?acha ujinga wakitoto!Mjinga wewe mwenyewe... Usipende dhihaka
HAPA KAZI TUUU MAGUFULI OYEEEEEEE WAPIGA DILI HALI MBAYAYoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.
Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.
Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.
Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Kwenye misemo mingi na falsafa na dhana za kisayansi mambo mengi huamuliwa kwa wingi. Kwenye sayansi ya siasa ndiyo kabisaa! Wingi ndiyo kila kitu katika siasa.Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Maraisi waliopita walikua na malengo pia "maisha bora kwa kila mtanzania" lkn hawakufanikiwa hali ngumu inahitajika mipango mizuriHayo yakwako
Hata maandiko yanasema Musa alikataliwa na wana wa Misri. Ila Tutafika tu na tutafanikiwa.Kwenye misemo mingi na falsafa na dhana za kisayansi mambo mengi huamuliwa kwa wingi. Kwenye sayansi ya siasa ndiyo kabisaa! Wingi ndiyo kila kitu katika siasa.
Sasa kama Rais magufuli anafanya mambo ambayo "wengi" hawayaoni, wewe huoni kwamba kuna tatizo hapo katika hiyo dhamira na utendaji wake? Yeye si alisemwa ameshinda kwa kuwa alikuwa na kura nyingi. Sasa anafanyaje mambo ambayo wengi hawayaoni na wewe unataka aungwe mkono?
Kwa maneno mengine unataka kusema kuwa Rais Magufuli ana uwezo na akili za kiwango cha juu sana kuliko hao watanzania "wengi" ambao hawaelewi malengo yake "makubwa" kwa Tanzania?
Unataka akagaie pesa kama Kikwete. Fanya kazi eti masikini... Una umasikini gani wewe kutwa upo kwenye net? Tumia akili yako na umasikini utakwisha.Una thread za kijinga sana..zisizo endelevu wala kujenga jamiii zaidii ya uongo uongo!mumeo unayemsifia anatusaidia nin ASA wananchi masikin?acha ujinga wakitoto!
Nahuyo mleta mada mwambie asipende dhihaka pia..kila mtu anauhuru wa kimtazamo no matter whatMjinga wewe mwenyewe... Usipende dhihaka