ahsante mtoa mada ila inaonekana wewe bado upo LALA LAND,our no 1ni wajibu wake kuyafanya hayo anayoyafanya sio kuwa nchi ina pata favour na kubwa yote ni lazima ayafanye hayo majukumu KISHERIA ,ni KATIBA ndio iwe DIRA YAKE katika kutimiza wajibu wake huo,mpaka leo sijui nchi yangu ipo upande gani katika masuala ya uchumi,je tumerudi kwenye ujima?ujamaa au tupo kwenye liberal n.k yaani tumekuwa kama weather ya pale Singida inaweza kubadilika muda wowote ule,vile vile tuna tatizo kubwa ambalo linachukuliwa kisiasa sio reality idadi ya watanzania inaongezeka kwa kasi mno.matokeo yake inameza ongezeko la uchumi wetu but until today sio no 1au waziri wa Afya au waziri wa home Affairs(kwangu he is the weakest link)wameshatoa angalizo lolote,uzalishaji katika viwanda vyetu unashuka,tunaagiza zaidi kuliko exporting more,bajeti ya ndani bado tegemezi,elewa DRC na ZAMBIA taratibu wanaanza kutumia bandari ya Walvis Bay na Durban,na watanzania au watu wote need freedom,democracy kubana kwake anawafanya watu waamue kuchukua au kuanza kufikiria njia za kujikwamua,ukimbana mno mtoto wako utamfanya aanze kufikiria jinsi ya kuruka ukuta au kutengeneza funguo mbadala,wakati unatakiwa umpe uhuru na kumwelimisha ili awe ndio mwamuzi wa maisha yake,mnjengee nidhamu ya kweli sio woga na aelewe taratibu za familia.our no 1 inaipeleka nchi yangu kusikojulikana.