Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Safi sana, [HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]
Matumaini yetu akiondoka achaguliwe rais mwenye msimamo kama huu, mbona tutakuwa mbali kimaendeleo..
 
Mbona hayo mambo ya kuidhinisha pesa ni kitambo sana yeye sidhani kama ni wa kwanza.
Bruh jibu swali langu. Two wrongs never make it right. Nitajie sheria ama kifungu cha Katiba kinachompa Rais wa JMT mamlaka ya kuidhinisha matumizi ya fedha, bila ya Bunge kufanya hivyo. Vilevile, je kwanini Bunge uwa na Bunge la Bajeti?
 
Bruh jibu swali langu. Two wrongs never make it right. Nitajie sheria ama kifungu cha Katiba kinachompa Rais wa JMT mamlaka ya kuidhinisha matumizi ya fedha, bila ya Bunge kufanya hivyo. Vilevile, je kwanini Bunge uwa na Bunge la Bajeti?



Na huu uamuzi wa kutoa ruziku ya elimu kila mwezi unaisemeaje,Vipi zile pesa alizookoa kila mwezi wa watumishi hewa.
Nitajia maamuzi ya matumizi ya fedha aliyoyafanya ambayo unadhani hayana tija kwa taifa.
Naomba unieleweshe nikikuelewa nitakubaliana na wewe.

Lumumba
 
Ebu nijibu nilichokuuliza kwanza, kisha tutajadili ulilolisema hapo juu. Usihamishe goli tafadhali.
 
Kwa upeo wangu rais apewe muda hatuwezi muda wa Miaka miwili watu wanapiga kelele rais mbaya? Au mlikuwa mnapenda wizi na rushwa kwa Upeo wangu hakuna rais kama magufuli ujanja ujanja hakuna ndio maana wengi kelele nyingi mpeni muda kwangu naona Tanzania inakwenda tena vizuri sana
 
Ni misukule tu ndiyo inayoweza kumsifia huyu muongo na dikteta uchwara ambaye hata mkewe kwa kujua ni janga kubwa aligoma kumfanyia kampeni.

 
Ndugu wa Tanzania hasa wana jamii Forum pasipo kujali itikadi ya vyama vyetu ningeomba tujadili kwa kina utendaji wa mkuu. Mim naona uwenda huyu Rais ana akili zaidi ya watangulizi wake kutokana na jinsi kazi zake zina toa majbu yakile amekikusudia.

Kwanza strategic zake zakukusanya mapato ni za aina yake na uwenda toka kuwepo kwa ma rais huyu bwana mkubwa anatak matumizi ya teachnology ktk kukusanya mapato yanakuwa makubwa nakuwanyima kula majizi serikali.

Pili mipango ya serikali yake ktk kujibu matatizo ya watanzania ni zatofauti na uwenda kwa muda mfupi uchumi unakimbilia 7% like never before.
 
Uwezo wa kufikiri upo chini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…