Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
SanaUmesoma vizuri nilivyo andika ??
Watakao fanya hivyo ni wale ambao siasa wanaichukulia kama dini kwamba wao ili mradi aliyepo ni mpinzani basi ni kuponda bila kuchanganua uongozi na maendeleo yanayo fanyikaBasi ile mibavicha ambayo mbowe inaipomulia nyuma itakuja kukuponda
kama anavyopumuliwa mama yakoBasi ile mibavicha ambayo mbowe inaipomulia nyuma itakuja kukuponda
Waheshimiwa matusi si jambo jemakama anavyopumuliwa mama yako
[HASHTAG]#3935[/HASHTAG], angalia [HASHTAG]#3935[/HASHTAG] matusi aliyotoa naye asiachwe akitambaWaheshimiwa matusi si jambo jema
Kumbe hata Hitler naye alikuwa chaguo la MunguMnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen
Sawa, umwambie arejeshe MV Dar es salaam aliyoinunua kwa sh8 billion kama kweli ni msafiMnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen
Hata Mobutu sesseko, Nduli iddi aminKumbe hata Hitler naye alikuwa chaguo la Mungu