Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Basi ile mibavicha ambayo mbowe inaipomulia nyuma itakuja kukuponda
Watakao fanya hivyo ni wale ambao siasa wanaichukulia kama dini kwamba wao ili mradi aliyepo ni mpinzani basi ni kuponda bila kuchanganua uongozi na maendeleo yanayo fanyika
 
Man of the people, hana tofauti na anao ongea nao, yeye ni mmoja wao, wananchi wanafurahi na kucheka wakijihisi wako na mwenzao, hakuna ajabu, yeye ni muajiriwa a naongea na kubadilishana mawazo na waajiri wake. Mungu akutangulie ktk majukumu yako, wakumbuke wanyonge na mafukara ndani ya ufalme wako, macho yao, imani zao na matumaini yao ni kwako. Mapambano yana endelea, safari ya kuijenga Tanzania ya viwanda bado mbichi, Mungu akutie nguvu Mheshimiwa Rais Wetu.
Amina.
 
Hii ndio ile sala ambayo Papa Francis alisema atafanyia mabadiriko au ? Mkuu inaonekana njaa imebana sana kwako kwa uandishi huu, Pole
 
Mnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen
 
.Kwani mtu au mzazi au Bibi au Babu akikulaani mbona kinakupata.Nionyeshe watoto wa Nyerere leo waking wapi na maisha yao Ni pamoja na laana za watu.Mungu Ni mwema usitutishe
 
Mnapoteza Muda wenu kumnanga naku mlaani mtu ambaye hawezi kulaanika.
Nawaambieni hato laanika sasa na milele...
Mungu mwenyewe hawezi kumchaguwa mtu ili amlaani, Mh Magufuli amekuja kipindi kigumu sana ambapo hali hakiwa sawa. Taifa lilikuwa kwenye kijito cha acid na wengi acid ile iliwaunguza miguu.
Haiwezekani mtu ali wasaidia watu kiasi hiki alaaniwe na watu wanakusanya mamilion ya masikin na hawalipii kodi wanaishi maisha ya juu kwa sadaka Za waumini wao wala mjane na yatima hawapati msaada.
Mungu anamuona Mh Magufuli kwakurudisha haki na utu wa mtanzania. Hata tukilaani tukumbuke Mh Rais ameshasaidia wengi yatima na wajane na haki za watu zimerudi tena wengine walisha dhulumika..
Wale mnapoteza Muda kumlaani huyu Rais mkumbuke mnachimba makaburi yenu wenyewe na wala hamumgusi popote huyu Rais na ningetamani moderator asifute huu uzi kama msisitizo wanapoteza muda na kamwe alie mleta hawezi kumdhuru.
Mungu ametupa mh Magufuli na baada yake hatokuwepo tumtumie vizuri kulijenga taifa letu na sii vinginevyo.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu Magufuli.
Amen
Kumbe hata Hitler naye alikuwa chaguo la Mungu
 
Sawa, umwambie arejeshe MV Dar es salaam aliyoinunua kwa sh8 billion kama kweli ni msafi
 
Back
Top Bottom