TAGGED
Senior Member
- Jan 4, 2015
- 114
- 233
Wapiga dili, waliozoea kupindisha maslahi ya wanyonge, wavivu wanahaha, wakwepa kodi, wanamuombea mabaya Rais watu afeli waendeleze maisha waliyoyazoea, achana nao mkuu tungewaona waungwana kama wangekuwa wanaeleza na nini kifanyike badala ya kuongelea upande mmoja na kubeza kila analolifanya JPM, huu sio upinzani ni zaidi ya roho mbayaWengine roho mbaya tu, choyo tu, gere tu, ufisadi tu, lolote la maana lenye mwelekeo wa kubadili maisha ya watanzania wataliponda na kulipinga. Heko Magufuli.