Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sasa tutaheshimiana bado na wahazini wa halmashauri wanajiona miungu watu
 
haa haa maghufuli nenda zanzibar kafute ile tume ambayo mwenyekiti alikurupuka na kwenda kufuta uchaguzi bila sababu za msingi....
 
Handsome wa msoga kapotezwa ndan ya week tu chezea HAPA KAZ TU u-handsome mwisho ilikuwa November 5.

mi mwenyewe nimeshaanza kumuona kikwete FISADI PAPA!Inamaana haya madudu anayoyaibua Magufuli sasa hivi yeye alikua hayaoni?!nachelea kusema kwamba Kikwete alituhujumu wananchi hasa sisi wa kati na chini
 
Wiki ijayo anaanza kwenye halmashauri. Mwezi ujao anaingia mikoani. Mpaka waziri mkuu anaingia atakuwa ameshafyeka kansa yote serikalini. We start over as a decent nation.
 
Dah! Lowassa sijui anajisikiaje huko aliko watu wanafanya mabadiliko ya kweli sio ya kuzungusha Mikono
 
Mzee wa kutoa watanzania uvivu siku chache zijazo atatua bandari ya dsm..wekeni mambo yenu yote sawa otherwise mjiandae kupigwa chini..
 
Tunataka watu kama nyie sio wale wa oooooh ''moto wa mabua'', mara ''nguvu ya soda'' au ''hata JK alianza hivi hivi''

usikereke na watu wa namna hiyo, kwa upande fulani wana faida, fikiri kama magufuli akiambiwa hayo anayofanya ni nguvu ya soda, hakika nakuambia atazidisha makeke ili kuwadhihirishia kuwa yeye si nguvu ya soda.
 
Wiki ijayo anaanza kwenye halmashauri. Mwezi ujao anaingia mikoani. Mpaka waziri mkuu anaingia atakuwa ameshafyeka kansa yote serikalini. We start over as a decent nation.

Hapa kila Boss anajiuliza hivi huyu jamaa (Mh. JPM) kesho anaamkia wapi? Hiyo bahati ya kutembelewa nae inawatia homa kali....watu hawalali, watu hawatoki maofisini, wanapitisha muda wa kazi bila hata kuomba overtime allowance.....ili mradi kuwekamambo sawa......HAWAJUI KESHO ANAAMKIA WAPI......
 
Bandarini per day wanaingiza 25bln lkn treasury wana peleka 5bln tu
 
Kikwete alianza kama JP.
Tusubiri matokeo tu.

Uliwahi kumfuatilia JK akiwa waziri? Hakuwa na hii hamsha hamsha. JPM hii kitu ni toka wizarani, ufanyi kazi, red kadi, kawahi simamisha mtu kazi mbele ya Tv tukaona ktk habari! Huu ni mchaka mchaka, wenye pumzi ndogo wakae kando tu!
 
Jambo la kuvunja bod na kuteua nyingine cyo jambo la ajabu. Kikatiba anaruhusiwa.Atavunja bod nyingi na kuteua pia.Hata wakuu wa vyombo vya ulinzi anaweza kuteua wapya kama ataona inafaa pia hata wakuu wa vizara au mabalozi pia.Kwa hilo la kuvunja bod ya wakurugenzi ni sawa kama aneona haindani na speed yake
 
Kuna watu walipotosha kwamba kafukuza bod ya wakurugenzi!Kumbe amevunja bod.Tunaomba mnao wasilisha mada muwe mnakuja na jambo ambalo ni uhakika.Siyo uzi huu kuna uzi niliukuta humu ndani
 
Back
Top Bottom