Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Lowassa sijui anajisikiaje huko aliko watu wanafanya mabadiliko ya kweli sio ya kuzungusha Mikono
haa haa waziri mkuu mstaafu habari yake inakwishaje?
Yaani tulinyanyasika mno. Mi karibia rafiki zangu 100+ niliwaondoa kwenye facebook friends list. Walikuwa wananikera. Wengine ni wasomi wa PhD na ni lecturers vyuoni yaani wote walikuwa wametekwa na mzee mamvi na DJ Mbowe. Ila uchaguzi huu umenipa funzo, kuwa tanzania tuna kizazi cha wavivu kufikiria na wala rushwa waliokubuhu, wale wanaolalamika ni kwamba hawajapata nafasi tu ya kupiga hela, ndiyo maana nikakasirika sana juu ya ulofa wa rafiki zangu wasomi.Kazi imeanza rasmi...!
Tulichukiwa sana kiasi cha kutishiwa maisha kwa kumkubali JPM.
Tulidhihakiwa sana bila hoja bali matusi makubwa lakini tulivumilia.
Tulionekana ni wazee wa buku 7 na Team lumumba kumbe ni raia wa kawaida tu.
Sasa tunaanza kufurahi kwa kupigania kilicho bora...na kwa hamasa hii hii tutaendelea kuupigania ubora wa kitanzania.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA.
#HAPAKAZITU
Hata jk ...alianza hiv....ila naomba Mungu sana....aendeleze haya na miktaba mibovu aipitie.....
Lakini jamani isiwe nguvu ya soda make na mjomba alikua hivo hivo
Kweli ni Rahisi sana kuwatawala watanzania. Yaani haya maigizo ya MAGUFULI watu wameshaingia "kingi" nasurrender uraia wa Tanzania, bora niwe mnyarwanda tu.