confidential person
Member
- Feb 11, 2013
- 76
- 7
Dah! Lowassa sijui anajisikiaje huko aliko watu wanafanya mabadiliko ya kweli sio ya kuzungusha Mikono
Huo sasa ni ukorofi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Lowassa sijui anajisikiaje huko aliko watu wanafanya mabadiliko ya kweli sio ya kuzungusha Mikono
Hata uchaguzi ukirudiwa leo nitampigia tena lowassa
Nyoosha hao wala rushwa wanyooke na watendaji wabovu pia wawajibike kuwahudumia wananchi.
Rais wangu JPM hakikisha unakula sahani moja na hao watu wa halmashauri, pesa nyingi inapotea.
Go Magufuli....
Utaendelea kutupa kura yako kila mwakaHata uchaguzi ukirudiwa leo nitampigia tena lowassa
Wiki ijayo anaanza kwenye halmashauri. Mwezi ujao anaingia mikoani. Mpaka waziri mkuu anaingia atakuwa ameshafyeka kansa yote serikalini. We start over as a decent nation.
Dah! Lowassa sijui anajisikiaje huko aliko watu wanafanya mabadiliko ya kweli sio ya kuzungusha Mikono
KOOTE POWA HAPO KWA KAGAME da! umenifanya nilale kabisa, usiku mwemaBinafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.This time Tanzanians need a person of Kagame calibre to order things!. Mazoea sasa bhaaaas na kwamba Hapa kaaaaaaazi tu!
Mkuu hujui kama lowassa ana degree ya usanii
kwani za hospitali binafsi zinatoka mbinguni.issue kubwa ni maintainance.
Dah! Lowassa sijui anajisikiaje huko aliko watu wanafanya mabadiliko ya kweli sio ya kuzungusha Mikono
hahahaaa! Lowasa kwisha habar yake