Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nenda zako Rwanda msumari wa Moto tuachie mama yetu Tanzania hata kama ni kilema,we nenda huko huko na wala usirudi.
 
Naomba nutembelee wizara ya ardhi hapo wanakalia applications zetu mpaka tuwape pesa
 
Kwa jinsi Magufuli anavyoperform, nindhahirimkwamba Watanzania wengi wameanza kuamini kuwa CCM ilifanya chaguo sahihi. Taratiiibuuu nyoyo za Watanzania wengi zimeanza kurejesha matumaini kwa CCM huku wakiachana na zile Baiskeli za Mbao.

Hongera sana JPJM. Hapa Kazi Tu imerejesha heshima ya chama chetu
 
Ndugu jaribu kuelewa kwa sasa hayo anayoyafanya Magufuli ni kwa kuwa tu bado hajajiingiza kwenye chama yaani CCM, pale atakapoingia tu na kuanza kufanya na mambo ya CCM hapo ndipo wananchi watakapoelewa tatizo sio Mtu bali ni CCM na hiyo imani ya CCM kwa wananchi unayoisema wewe na hao watu wengine haitakuwepo tena.
 
Ha ha ha haaahaaa kwa speed hii ni km namwona Lowa-hassa akiijaza pampass mzigo kwa hofu ya tingatinga!
 
Huyu Dr. Naona kama labda anajaribu kudroo public attention but if he is really serious may he help the our beloved public to know who was behind iptl, rada, epa and etc.
 
Tulishuhudia kwenye mkutano wa Bunge la Kumi na Moja wabunge wa upinzani wakianzisha zogo, hatimaye kutolewa nje kwa amri ya Spika.

Jambo la kujiuliza ni kuwa, je, kati ya CCM na CHADEMA, ni nani akubaliane na matakwa ya mwenzie? Inavyoonekana hata kutafsiri Katiba na Sheria, kila mtu ana tafsiri kwa mujibu wa matamanio yake. Ni kwamba kinachoendelea sasa sio ushindani wa hoja kisheria bali ni mwenye maguvu kwa namna yoyote ndie mshindi.
 
Jamani hii ni ya kipekee kwa magufuli kukataa watu wasile fedha kiasi cha zaidi ya sh. milioni 200 kwa kununua soda maji pombe ili walewe hadi kuwa faraja kwa wagonjwa wa muhimbili, haijawahi tokea tangu Nyerere, tumeshuhudia marais watatu hapa katikati wakitumbua fedha kama Ubani Msibani, wajifunze namna anavyotakiwa awe mtu anayeipenda nchi yake,
hata hapo walipo wana miradi mingi walioanzisha wakiwa Maraisi tuna omba wairudishe isaidie elimu bure. tujifunze kwa Kagame alivyobadili nchi yake iliyokuwa maskini kwa ajili ya vita leo inatuzidi, Magufuli mungu Akubariki sana, kweli hatukufikiri wala kujua kama Nchi hii inafedha nyingi kiasi hicho. Jamani marais mliostafu Mnajifunza nini? ebu fanyeni na nyie kwa sehemu kuisaidia nchi hii kutumia miradi mlionayo ambayo mmechuma mkiwa marais. ili mpate baraka, kama magufuli,
 
Huo uandikaji wako Boss asee! Ruanda ndio kuna Kagame?
 
Tatizo ni mti unaitwa Demokrasia ambao mbegu yake imekataa kuota huku Zanzibar na Tanzania kwa ujumla!!!
 
kwa mwenendo wa magufuli ni vema tuache kumtabiria vibaya kama atashindwa kutekeleza ahadi nafikiri ameanza vema sana
 
Magufuli anapolaani ubabaishaji wa serikali iliyoundwa na chama chake bila kuilaani ccm, ni kosa la kimkakati, asipokiri udhaifu wa ccm atashindwa kuirekebisha na akishindwa kuirekebisha ccm maana yake itayumbisha serikali yake and consequently atashindwa kufikia maono yake, it is better to light the candle rather than cursing the darkness, take it from me bro John.
 
wewe usijali ujumbe umefika acha kumind vitu vidogo, hiyo ni Rwanda
mimi ni msukuma
 
Jamani hii ni ya kipekee kwa magufuli kukataa watu wasile fedha kiasi cha zaidi ya sh. milioni 200 kwa kununua soda maji pombe ili walewe hadi kuwa faraja kwa wagonjwa wa muhimbili, haijawahi tokea tangu Nyerere, tumeshuhudia marais watatu hapa katikati wakitumbua fedha kama Ubani Msibani, wajifunze namna anavyotakiwa awe mtu anayeipenda nchi yake,
hata hapo walipo wana miradi mingi walioanzisha wakiwa Maraisi tuna omba wairudishe isaidie elimu bure. tujifunze kwa Kagame alivyobadili nchi yake iliyokuwa maskini kwa ajili ya vita leo inatuzidi, Magufuli mungu Akubariki sana, kweli hatukufikiri wala kujua kama Nchi hii inafedha nyingi kiasi hicho. Jamani marais mliostafu Mnajifunza nini? ebu fanyeni na nyie kwa sehemu kuisaidia nchi hii kutumia miradi mlionayo ambayo mmechuma mkiwa marais. ili mpate baraka, kama magufuli,
Kilaza Utamjua tu. Huwa hajifichi
 
Back
Top Bottom