Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Mimi nadhani wengi waliokuwa wana chukia mafanikio ya wenzao ndio sasa hivi wanafurahia wenzao kukosa lkn nawaambia Magu ataondoka mkiwa hivyo hivyo masikini mkiendelea kusifia nyie wenyewe mnakula mihogo na maji ya kandoroWengine roho mbaya tu, choyo tu, gere tu, ufisadi tu, lolote la maana lenye mwelekeo wa kubadili maisha ya watanzania wataliponda na kulipinga. Heko Magufuli.
Nini? Sio kila kitu ni kuunga mkono. Hata akivunja katiba aliyoapa kuilinda wewe unaunga mkono tu? Unga mkono critically Sidhani kama kila kitu ni cha kuunga mkono labda uamue kuishi kwa kutegemea watu wengine wafikirie kwa ajili yakonaunga mkono hoja
Na wewe usikurupuke kumjibu huyu jamaa, uzi wa 2015 masiku kadhaa baada ya kuapishwa JPMKasi ipi unakurupuka andika kwa data,au kasi ya kuwashika akina Msigwa na akina sugu tupe data sio unakurupuka tu.
What?Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Naona mzee amekutekenya ukatekenyeka. OngeraKwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
MmmhHasa ile aliyosema " huwezi kuwa msaliti halwaf uka savaiv!"
Watu wengine sijui mnatumwaga ili msikie maiti zinaokotwa baharini?Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Nafasi za U-DC kwani bado zipo?Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Manyo'anokho!! Umebakiza kitu kimoja tu ndugu yangu "kuchojoa"Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Mahaba yakizidi! Mhhh!Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Kweli kabisa, kila shetani na mbuyu wake au Kipenda roho ula nyama mbichi.Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa