Hao watu hawakuwa na ndugu tusikie ndugu wakiwatafuta?Iweje bavicha muwe na uchungu sana kuliko ndugu zao?Mi naamini mtu hadi kupotezwa ni lzm uwe na jambo lenye kuleta shida sana kwenye maslai ya mtu au kundi flani na automatically hao waliopetea wangejulikana tu kuwa flani kasema hivi na sasa kapotea ktk mazingira ya kutatanisha.Hao mnaodai wamepotezwa walifanya nn kias utawala uone ni hatari na solution iwe kuwapoteza?Watu wengine sijui mnatumwaga ili msikie maiti zinaokotwa baharini?
fix, hata yule waziri wa ulinzi wa Iraq enzi za Sadam aliyekuwa anariport mwenendo wa vita vya Iraq vs Marekani na washirika wake ni cha mtoto.Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Mfano mbaya wa kuigwajpm rais wa mfano duaniani
Unasema akikaribia kumaliza unatamaani aendelee?
Samahani; wewe ni -me- au -ke-?
ANAMAANANISHA KUWA JAMAA AKIKARIBIA KUMALIZA HUWA NDIO ANASIMAMIA KUCHA VIZURI, HIVYO ANATAMANI ASIMALIZE HARAKAUnasema akikaribia kumaliza unatamaani aendelee?
Samahani; wewe ni -me- au -ke-?
ulisikia eeehhh hiyo ilikuwa mida ya saa 5 hiv mchana kufika jioni mara mtu kapigwa risasi....Hasa ile aliyosema " huwezi kuwa msaliti halwaf uka savaiv!"
KWAHIYO UNAKIRI KUWA KWELI MKULU ANAWAPOTEZA WATU WANAOTAKA KULETA SHIDA KWENYE MASLAHI YAKE/ YA CHAMA CHAKEHao watu hawakuwa na ndugu tusikie ndugu wakiwatafuta?Iweje bavicha muwe na uchungu sana kuliko ndugu zao?Mi naamini mtu hadi kupotezwa ni lzm uwe na jambo lenye kuleta shida sana kwenye maslai ya mtu au kundi flani na automatically hao waliopetea wangejulikana tu kuwa flani kasema hivi na sasa kapotea ktk mazingira ya kutatanisha.Hao mnaodai wamepotezwa walifanya nn kias utawala uone ni hatari na solution iwe kuwapoteza?
Magonjwa ya akili yanaongezeka kwa kasi kubwa sana,lakini sijaona jitihada za kukabiliana na hili tatizo.Unasema akikaribia kumaliza unatamaani aendelee?
Samahani; wewe ni -me- au -ke-?
Siyo njaa pekeyake,bali afya ya akili pia.Mbona umesahau kuweka namba ya simu ?
Njaa kitu kibaya sana
kwa mahaba umemzidi hata kabula, sundi na angelaKwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Huu ni mwandiko ganijpm rais wa mfano duaniani