Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hoja.Jamani tuwe wakweli na waungwana!
Embu basi tutambue juhudi za Serikali ya Mh Magufuli. Rais anajitahidi sana. Mambo mengi sana mazuri anafanya vizuri sana.
Weka chumvi kama sukari imekushindaOUT=Open University of Tanzania.
btw akili yangu haifanyi kazi vizuri sijanywa chai leo, mtoto niliyemtuma dukani kununua sukari alirudi baada ya kuambiwa nusu kilo sukari ni sh 1,200 nami nilimpa sh 1000 tu.
Nawaza jinsi ya kutumia hii elfu ili angalau nipate kitu cha kuweka kinywani mimi na huyu mtoto wangu.
Mazuri unayosifia yameenda chuo kikuu huria (OUT) hayajafika kwenye uchumi.
Mishahara hailipwi on time hiyo nchi yenye maziwa na asali itatoka wapi?Naunga mkono hoja.
Tena nimependekeza, uchaguzi wa 2020, usifanyike, rais Magufuli aendelee tuu moja kwa moja, na 2020, kama miradi mikubwa ya SGR na Stiggler haijakamilika, then tumuongeze muda, tumpatie muda wa kutosha endelee tuu mpaka akamilishe kuifanya Tanzania ni nchi ya maziwa na asali.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P.
We ni me au ke?Uchwara IN
Busara OUT
Brain Zero IN
Intelligence OUT
Bashiteeeee, unajengewa mahekalu tu utaanzaje kuona ubovu wa DHALIMU la DHALIMU ?Jamani tuwe wakweli na waungwana!
Embu basi tutambue juhudi za Serikali ya Mh Magufuli. Rais anajitahidi sana. Mambo mengi sana mazuri anafanya vizuri sana.
Watumishi hewa OUT
Kazi hewa OUT
Mafisadi OUT
Vyeti feki OUT
Bank hewa OUT
Safari za ovyo nje ya nchi OUT
Maandamano na siasa za hovyo OUT
Ndege IN
Train ya mwendo kasi IN
Mradi mkubwa STRIGER'S Gorge IN
Kuchapa kazi IN
Heshima kazini IN
Uwajibikaji IN
Viwanda IN
Wasomi na vijana IN
Kama unabisha njoo na fact otherwise ukapimwe akili
What has it got to do with what I posted?!We ni me au ke?
Jibu swali uulize swali!What has it got to do with what I posted?!
None of the aboveJibu swali uulize swali!
Pita hivi [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]None of the above
Next....
Umetisha sana mkuu..goodEnzi za shule ilikuwa kwenye mtihani ukikutana na swali "mention..." ni simple tu kwa kila aliyekariri points na wengi watajizolea marks hapo. Sasa ishu ni yale maswali ya "with vivid examples, mention and explain..." hapo wengi hukamatika hasa msahihishaji akiwa makini hajapiga kiroba.
Wewe ume "mention" tu uwashike viazi mbatata, ukiambiwa kueleza kwa mifano hai, sidhani kama utatetea hata point moja hapo
You are an idiot if not stupidPita hivi [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
Shithole !You are an idiot if not stupid
Block inakuhusu dammit!
Nunua robo kilo acha ujuha weweOUT=Open University of Tanzania.
btw akili yangu haifanyi kazi vizuri sijanywa chai leo, mtoto niliyemtuma dukani kununua sukari alirudi baada ya kuambiwa nusu kilo sukari ni sh 1,200 nami nilimpa sh 1000 tu.
Nawaza jinsi ya kutumia hii elfu ili angalau nipate kitu cha kuweka kinywani mimi na huyu mtoto wangu.
Mazuri unayosifia yameenda chuo kikuu huria (OUT) hayajafika kwenye uchumi.
Moods bun hii kiumbe unalopokwa ujinga**** ya mama ako wee, wasomi tumejazana mtaan hizo ajira kaztoa mama ako kwa baba ako usiku??,
Wasomi na vijana in wapi??? Nawe upimwe akili kwa kuandika usichokijuaJamani tuwe wakweli na waungwana!
Embu basi tutambue juhudi za Serikali ya Mh Magufuli. Rais anajitahidi sana. Mambo mengi sana mazuri anafanya vizuri sana.
Watumishi hewa OUT
Kazi hewa OUT
Mafisadi OUT
Vyeti feki OUT
Bank hewa OUT
Safari za ovyo nje ya nchi OUT
Maandamano na siasa za hovyo OUT
Ndege IN
Train ya mwendo kasi IN
Mradi mkubwa STRIGER'S Gorge IN
Kuchapa kazi IN
Heshima kazini IN
Uwajibikaji IN
Viwanda IN
Wasomi na vijana IN
Kama unabisha njoo na fact otherwise ukapimwe akili
Mkuu unga umeshuka bei. Hiyo hela nyingi sana!OUT=Open University of Tanzania.
btw akili yangu haifanyi kazi vizuri sijanywa chai leo, mtoto niliyemtuma dukani kununua sukari alirudi baada ya kuambiwa nusu kilo sukari ni sh 1,200 nami nilimpa sh 1000 tu.
Nawaza jinsi ya kutumia hii elfu ili angalau nipate kitu cha kuweka kinywani mimi na huyu mtoto wangu.
Mazuri unayosifia yameenda chuo kikuu huria (OUT) hayajafika kwenye uchumi.
Naunga mkono hoja.