Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Unauliza tutamlipa nini? Mwenzio keshajilipa mapema 1.5tri si haba.
 
hauna cha kumlipa kwakuwa tayari ameshachukua elfu 30 yako katika 1.5 T
 
Umbwa nini ww
 
Binafsi toka uhuru sipendi kuamini kama kuna rais kama huyu. Ni mzalendo, anaipenda nchi yake, ana mtazamo wa maendeleo. Anakosa tu suport kutoka kwa sisi wasaidizi wake. Watu tumezoea business as usual
Naona mmetumwa humu
 
Kubwa la majizi



 
waweza mlipa wewe kwa niaba kama unaamini anastahili hayo malipo
 
Wow. Kusoma hawajui hata picha nayo hawaoini???
 
Hela ya mazungu ya unga haionekani mitaani,asante Magufuli,ni wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…