Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Eti chaguo la Mungu,ungeandika chaguo la Lucufa ungeeleweka sana,Tanzania ina mkosi mno kuwa na jitu la hovyo kama magufuli,ni bora angekufa akiwa mchanga watu wasingeteseka na kuuawa hivi.
Magufuli hana tofauti na Idd Amin,madikteta hupenda sana sifa.
 

We ndo Mungu maana ndo ulimchagua ila wengine tunaona ni chaguo la mashetani maana shetani hapendi watu wa mungu,alitamka wazi kuwa tutaishi kama shetani ili akawe mkuu wa malaika mbinguni, huyu lazma awe shetani
 
Walishindwa kukuchomoa jana, sasa ongeza urefu wa mizizi tena ya kwenda chini, wapige kisawasawa siunaona mkiwachekea?
 
Eti Strongman? Kuna kiongozi muoga kama huyu? Kiongozi mwenye kujiamini hawezi kutumia nguvu nyingi kwa kujaribu kunyamazisha wanae mkosoa, kiongozi mwenye ushujaa wakutosha hawezi kubwabwaja kisa mwanamke anaandika kuhusu maandamano mitandaoni, kiongozi mwerevu hawezi kuogopa kukosolewa, kongozi anaogopa hata kusafiri akihisi atapinduliwa, na viongozi waoga ndio mwisho huwa Madikteta kwa kuwa wanaogopa wakitoka madarakani wanaweza wakasulubiwa.
 
Kikwete aliposema maisha Bora kwa Kila Mtanzania hatukumuelewa. Leo hii tumerudi nyuma sana kimaendeleo.
Maisha yamedorora.
Hakika Kikwete kweli wewe ndio ulikuwa chaguo la Mungu
Nakazia
 
Sio chaguo la Mungu sema labda chaguo lako mkuu mnajitahidi kumbeba lakini habebeki
 
Strongman ni kuiba pesa za Umma kupitia tenda mbalimbali? wafanye kazi zipi? Kushinda kwenye mitandao ipi? Pesa zote Trillion 1.5 mmeziiba hutaki wakae kwenye mitandao kuwajuliaha watanzania juu ya wizi wenu? Ujue CCM mnawadharau watanzania kwa kiasi cha kutisha , ipo siku mtajutia dharau zenu
 
Mkuu fafanua vizuri ni chaguo la Mungu yupi? Jaribu kurejea kauli zako na matendo yako ambayo tumesikia na kushuhudia.
 
Siamini kama kumpandisha cheo mtoa rushwa ni mpango wa Mungu aliye mbinguni. Labda Mungu Shetani. Ila Mungu wa Mbinguni sidhani kama anafurahia matendo hayo.
 
Kikwete aliposema maisha Bora kwa Kila Mtanzania hatukumuelewa. Leo hii tumerudi nyuma sana kimaendeleo.
Maisha yamedorora.
Hakika Kikwete kweli wewe ndio ulikuwa chaguo la Mungu
Hayo maisha bora mliyapata au iliishia maneno tu ya wanasiasa?
 
Ni ukweli usiopingika Rais Magufuli ni zawadi kutoka kwa Mungu baadhi ya watu wataelewa hili badae sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…