Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Atashangaza ulimwengu kwa kuwa binadam wa kwanza kuwahi tokea kuwa kiongozi mkuu wa Malaika
 
Hiyo namba (1) hebu mtuweke list ya viwanda basi tuvijue ....au ndy mafundi cherehani nao inahesabika viwanda,We mashine za kutengeneza juisi za miwa nayo viwanda,wenye blenda majumbani nazo viwanda hebu tuwekeni Sawa Kuhusu Hizo viwanda wana lumumbaaa

Ova
 

mkapi masasi uko wapi, salaam zao, jakayi uko wapi ooo salam zao. mmetutia tabuni nyie watu
 
Hayo ni malengo yake ambayo hajayatimiza na vigumu kuyatimiza hata baba wa taifa JKNyerere alikuwa na fikra pana zenye maslahi na Taifa sana tena sanaaa. Alitaifisha Viwanda,Mabenki,Majumba,Mashamba,Mashule na kila kitu chenye uchumi wa juu alitaifisha na kutukabidhi zikawa ni mali zetu ila mwishowe nch ikatushindaaa chaliii nyan'ganyang'a ndembemdembeee taabaaaani tukajipiga kipigo cha mbwa kokooo. Hata JPM anajitahidi lakini kama tulivyo rushwa imetujaa vichwani ulafo wa mali na ufisadi na uzembe uliokitihri hatafika
 
Ongeza upeo wa kufikiri acha kudang'anywa. CAG yenye mamlaka ya kutathimini alisha tueleza tunajua kila kitu. Wunatuletea mada gani hapa. Viwanda vyenyewe ni porojo.
 
Uko sahihi!!!
Atakumbukwa kwa kujenga miundombinu muhimu kama Wakoloni waliomtangulia, yaani Wajerumani na Waingereza. Wakoloni hao walijenga RELI toka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Mwanza, Tanga, Arusha mpaka Voi, nchini Kenya.
Wakoloni walijenga RELI toka Mtwara mpaka Nachingwea.
Lakini Wakoloni hao hao walitunyima UHURU wa kuamua mambo yetu wenyewe!!!!
Pamoja na yote waliyofanya, tuliona kuwa bora tuwe masikini lakini TUKIWA HURU!!
Wapinga UKOLONI, akiwemo BABA WA TAIFA, walikamatwa na POLISI na kupelekwa mahakamani.
Baba wa Taifa na wenzake walinyanyaswa sana lakini hatimaye tukapata UHURU.
Hakika, Rais Magufuli anao uhuru wa kuamua jinsi anavyotaka Watanzania wamkumbuke!
Kwa mwenendo wake wa sasa, tutamkumbuka kwa kujenga Reli ya Kisasa, SGR, kwa kujenga Stiglers Godge, kwa kujenga fly-overs, kwa kujenga makao makuu.
TUTAMKUMBUKA KAMA TUNAVYOWAKUMBUKA WAKOLONI WALIOTUJENGEA RELI NA MELI YA MV LIEMBA!!!!!!!
 

Duh!!!! Jukwaa limevamiwa!!! Mmetumwa????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…