Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mwanaume mwenye akili za kisayansi hawezi msifia mtu hivi.

Acha na akiba ya maneno.
 
Rubbish
 
Anatafuta pa kuwekwa,kasahaulika eti,tatizo anatoka kaskazini
 
Magufuli na wewe uwe na huruma inamaana hawa kina jerry muro na lemutuz huwaoni au?,au teuzi zimekwisha?,haiwezekani vijana wanakusifia usiku na mchana alafu hauwapi ulaji.
 
Jeri Mulo ni WA kanda isiyopendwa ataendelea kuisoma namba tyu awamu hiiiiii
 
Mwanaume muda wote anamsifia mwanaume mwenzake kinoma,muro ni mchicha mwiba
 
Dume zima linaacha kusifia mkewe ndani linasifia wanaume. Ili bwabwa lina kazi sana. JPM muonee huruma huyu kijana, ana pata tabu sana, kiongozi wetu na malaika mpe kijana wako hata ukatibu mkuu wa wanawake wa CCM atulie
 
Huchoki tu miss Jerry na kusifia wanaume wenzio!!? Teuzi zishaisah dada nenda tu yanga kaokoe jahazi!!
 
Majitu ya aina ya Jerry Muro yanafaa kupapaswa makalio kutoka na uroho wa madaraka!
 
We jery wewe!. Yaani pambio lako haalitaskika manake we unatoka kibande ile. Halafu we ni mangi ya wapi una njaaa kiasi hicho kutwa kuchwa kusifia mwanaume mwenzio. Yaani baki huko huko kwa wanaume wa dar usije kabisa huku mndenyi. Itondo kapisa chaa !! Lanyeee!
 
*TIRIRIKA NA JOSEPH YONA AU YUSUPH YUNUS*

Napenda kuchukua fursa nyingine kuvipongeza vikao vya CCM taifa vilivyokasimiwa madaraka na Mkutano mkuu CCM taifa.
Hongereni wajumbe wa [HASHTAG]#HalmashauriKuu[/HASHTAG] [HASHTAG]#KamatiKuu[/HASHTAG] na [HASHTAG]#SekretarietTaifa[/HASHTAG] kwa vikao Muhimu vya siku Mbili,kuendelea kuijenga CCM Mpya(Chama pekee kilicho na matumaini na watanzania) na Tanzania Mpya.

Vikao hivyo vya Chama chenye Historia iliyotukuka barani Afrika na Duniani,Pamoja na Mambo mengine,Vimeridhia Ombi la siku nyingi la Kada na Katibu Mkuu wa CCM Komred Kinana kuomba kujiuzulu.
Lakini Pia wamefanikiwa kukamilisha idadi ya wajumbe wa Kamati kuu na kukamilisha nafasi ya Makatibu wa Jumuiya zake zote na Mwisho vikao hivyo vimempata na Kuridhia jina la Katibu Mkuu Mpya wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) [HASHTAG]#DkBashiruAlly[/HASHTAG].

*Kwanini Nimemuelewa Dr Magufuli*
Kwanza Dr Magufuli amenitafakarisha sana,kwani kuna vitu vingi najifunza kwake lakini uteuzi huu wa Katibu Mkuu Mpya [HASHTAG]#DkBashiruAlly[/HASHTAG] imenitafakarisha zaidi namna na ambavyo amefanya.

Wenzetu [HASHTAG]#CHINA[/HASHTAG] Wanazo taratibu zao za kuwaandaa viongozi wao kabla ya kuwapa Majukumu.
[HASHTAG]#Wachina[/HASHTAG],Rais wao huandaliwa zaidi ya miaka mingi,Tena wakati Mwingine humpa majukumu ya Rais lakini kubwa husafirishwa vijijini kukaa na wananchi kushuhudia Changamoto zao.
Sio tu kwa [HASHTAG]#CHINA[/HASHTAG] hata [HASHTAG]#Marekani[/HASHTAG] Kabla ya Rais Mpya kuingia Madarakani kuna kipindi cha Mpito cha Rais Mpya kukaa jirani na [HASHTAG]#WhiteHouse[/HASHTAG] kufanya baadhi ya kazi za Rais na Rais anayestaafu.

[HASHTAG]#DrMagufuli[/HASHTAG] kabla ya uteuzi wa Katibu Mkuu,baada ya kujiridhisha na Ombi la Muda mrefu la Komred Kinana kutaka Kujiuzulu aliunda kamati ya kufuatilia Mali za Chama chini ya [HASHTAG]#DkBashiruAlly[/HASHTAG] lakini kubwa ni kumpa Uzoefu na kujua Changamoto zinazokikabili Chama cha Mapinduzi na kujionea hali halisi ya Maisha ya Watanzania lakini kubwa ni kumjengea kujiamini kwa WANACCM nchi nzima kumtambua.

[HASHTAG]#DkBashiruAlly[/HASHTAG] amezunguka nchi nzima na naamini asilimia 60%-70% ameshazijua changamoto za chama na viongozi wake,lakini kubwa amejua Kero za wananchi.
Na kwa kuwa amekabidhiwa rungu,kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa atahakikisha changamoto za chama anazitatua.
Kwa hiyo Rais *Dr Magufuli* amefanya kitu Muhimu sana kwa Katibu Mkuu wa Sasa,Kwani ameua Ndege wawili kwa Mpigo yaani,Katibu Mkuu Kuhakikisha CCM inasafishwa na kuirudia Misingi ya kuanzishwa kwake na ndege wa Pili ni kutatua na kuzisemea Shida za Watanzania.

Ilikuwa haiingii akilini Rais ahangaike na Serikali kuiweka sawa halafu mambo ya Chama nayo yamgoje mpaka yeye aje wakati wasaidizi wake kwenye chama wapo.
Lakini kubwa Ilikuwa Haiingii akilini eti Jumuiya zenye Miradi chungu Nzima bado Pesa za Mikutano yao Mkuu wanaomba Chama taifa.

Mbaya zaidi,ilikuwa haingii Akilini eti Jumuiya ya Wazazi wana Shule za Sekondari lakini hazifanyi vizuri kwenye Soko la Matokeo.
Pia Ukija kwenye Banki ya Wanawake inayosimiwa na UWT haifanyi vema,Mbaya zaidi waliokopeshwa ni watu wachache wenye Pesa nyingi kwa Mbinu za kitapeli.
Ukigeukia Jumuiya yetu ya Vijana (UVCCM) miradi yake ni Shida tupu.

Mwisho nasema nimemuelewa sana mwenyekiti wa CCM taifa *Dr Magufuli*
Nasema.
*No Gain without Pain* nawafahamu watu wengi sana wanamuunga Mkono hapa Online na Offline,wengi hawakutaraji kwamba huu utumbuzi na kibano hiki kama kitafika hapa,lakini kadri siku zinavyokwenda makundi haya yanaendelea kusambaratika kwa kasi kama *Soviet Union* na yapo Makundi mengi pia yanazidi kumuunga Mkono!
Moja Walikuwepo wale wa bega kwa bega kwa minajiri ya "tupate Chochote kitu"...Mbili kuna "wa Uzalendo kwanza"..na tatu ni wale wa "tujikinge kwake"...nadhani mpaka sasa tumebaki na kundi la pili pekee.
This is the Returns of Nkurumah Nyerere who was the Son of Mandela Lumumba,hapa kama Ukoo wa Yakobo wa Israeli tu,hakuna Uchawi juu yake,hapa ni kazi na Sala kwa kwenda mbele.
*Nchi kwanza CHADEMA na mikelele yao baadae*
 
Hata Dr. Slaa na Anna Magwira waliandaliwa kwa miaka Mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…