Hivi inakuwaje mtu ambaye hajawahi kuishi Ulaya kwa Muzungu na ambaye wengine wanamuita ,,mshamba” lkn sasa TZ yetu inavyokwenda mambo yake ni kama tu nchi za Wazungu (nchi zilizoendelea) sasa hivi hakuna ubabaishaji, unaishi kwa jasho lako, sheria zinafwatwa barabarani kama 50 km/saa kila mtu anafwata, zebra kila dereva anaheshimu, leseni za magumashi mwisho wake umefika.
I mean mambo yanakwenda ingawaje uchumi wetu bado mdogo lkn angalau kwa mara ya kwanza tuna matumaini tuendako kunaeleweka, ...