Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Yatapita tu, kila jema halikosi changamoto. Naamini changamoto tulizonazo zitaisha na nchi itakuwa vizuri baada ya kipindi hiki kigumu cha mpito
 
Ninachoamini wapinzani wengi wanadili na changamoto za kipindi cha mpito, hawaangalii mbele itakuwaje. Kwa wenye akili wanaangalia masilahi ya baadae ya taifa sio ya sasa ya mtu mmojammoja. Ndo maana nikasema japo hajatuongeza hata mshahara najua hana lengo baya ila tu anadili na future nzuri
 
Baba wengi huwa wazuri hata wakiwa na mapungufu yao. Lakini kuna baba wengine huleta matatizo kwenye familia hasa pale anapoanza kuwabagua watoto wake. Sababu huyu kafanana na mimi huyu kafanana na mama yake. Utaona upendo wa waziwazi kwa watoto wengine na chuki kwa wengine wakati yeye ndie baba. Kinacho sikitisha zaidi baba huyu akishakunywa Pombe hutuwekea Magufuli kwenye milango kisa hatujafanana nae.



Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mxiew
 


Magufuli ni chaguo la Mungu kwetu, tuliteswa sana na marais waliopita. Wote kwa pamoja tumpigie makofi Magufuli, haya tena....makofi ya nguvu jamani.
 
Ni wenye vichwa mahiri ndio huona haya.
 
Dinia hii kuna wanao fikiria wanaona kumbe hawatazami. Wayahudi walipo kwisha kumuua Yesu, akili zao zilifunguka na baadhi walisema; HAKIKA HUYU ALIKUWA MWANA WA MUNGU ingawa awali walisema HUYU ANAJIFANYA MWANA WA MUNGU. Kuhusu Magufuli Mimi nadhani watakubali tena si muda mrefu.
 
Wengi wakishakuwaga wapinzani hawaoni jema hata moja, ndo maana utaona kila zuri analofanya lazima litafutiwe kasoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…