Nyie mnaporopokaga humu JF huwa mnaweka SAWA Takwimu!?Kusema tu haitoshi ni vyema ukaweka sawa au kujazia nyama.
Zamani kwa siku zilikuwa zinatia meli nanga ngapi na kwa sasa ikoje kwa siku.
Kwa mwezi zamani tulipokea Meli ngapi na kwa sasa tunapokea ngapi.
Sababu ipi(kipi kimeongezeka) imeongeza idadi hiyo ya mizigo na meli.
Je mizigo mingi ni transit au ni ya ndani?
Nyie mnaporopokaga humu JF huwa mnaweka SAWA Takwimu!?
Shithole mentality!kwa hiyo ukilala ukiamka uandike tu unachoota usiulizwe haya LEO WAMEINGIA WACHINA MILIONI 50 AIRPORT..
Shithole mentality!