Dhambi anazo hukuwahi kumpa pole Tundu lisu wala hajawahi kukemea Tabia ya kuwabambikia kesi Wapinzani na hajawahi kumpiga marufuku Musiba aache propaganda zake kwa kivuli cha Bashite.Ni kweli mkuu,CHADEMA ndo imeleta umaskini mkubwa sana Tanzania halafu wanaisingizia CCM.
Halafu Magufuli ndo Rais pekee Africa nzima na Duniani ambaye hana dhambi yoyote ile,ni wiki iliyopita tu alipigiwa simu na mungu na kupongezwa kwa utakatifu wake.
Hata Trump na Angela Merkel wanataka kuja Tanzania kujifunza Demokrasia na utawala bora.
Magufuli Oyeeeeeeee..........
KWA KUUA, KUPOTEZA, KUTEKA NA KUSIGINA CONSTITUTION....NDIYO NAMBA MOJA KWELI!Chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.
Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.
Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Kuweka record saw,tuwekee hapa ni nchi gani imewahi kumtaka!Ni vema ukatuwekea na link ya habari walau tujiridhishe!Chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.
Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.
Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Mna kazi kweli kweli hebu thibisha mkuu la sivyo ndio wale wale wasaka UDCChini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.
Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.
Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Tuko kwenye laiti tiraki walahi!Ni kweli kabisa walahi
Tutembee kifua mbele Watanzania walahi
Heshima kwenu wana JF pamoja na Mh. Magufuli,
What If Membe would have been the president.View attachment 921988
unaudhibitisho mkuu?? tusimchezee rais ka babu anakazi ngumu saanaZile siku mbili zilikuwa mbaya sana kwake
ngonjera zingekua hizi hizi ooh bora Magufuli asiyekua na makundi....blandazzzzWhat If Membe would have been the president.View attachment 921988View attachment 921989