minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Dhambi anazo hukuwahi kumpa pole Tundu lisu wala hajawahi kukemea Tabia ya kuwabambikia kesi Wapinzani na hajawahi kumpiga marufuku Musiba aache propaganda zake kwa kivuli cha Bashite.Ni kweli mkuu,CHADEMA ndo imeleta umaskini mkubwa sana Tanzania halafu wanaisingizia CCM.
Halafu Magufuli ndo Rais pekee Africa nzima na Duniani ambaye hana dhambi yoyote ile,ni wiki iliyopita tu alipigiwa simu na mungu na kupongezwa kwa utakatifu wake.
Hata Trump na Angela Merkel wanataka kuja Tanzania kujifunza Demokrasia na utawala bora.
Magufuli Oyeeeeeeee..........