Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ni kweli mkuu,CHADEMA ndo imeleta umaskini mkubwa sana Tanzania halafu wanaisingizia CCM.
Halafu Magufuli ndo Rais pekee Africa nzima na Duniani ambaye hana dhambi yoyote ile,ni wiki iliyopita tu alipigiwa simu na mungu na kupongezwa kwa utakatifu wake.
Hata Trump na Angela Merkel wanataka kuja Tanzania kujifunza Demokrasia na utawala bora.
Magufuli Oyeeeeeeee..........
Dhambi anazo hukuwahi kumpa pole Tundu lisu wala hajawahi kukemea Tabia ya kuwabambikia kesi Wapinzani na hajawahi kumpiga marufuku Musiba aache propaganda zake kwa kivuli cha Bashite.
 
Chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.

Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.

Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
KWA KUUA, KUPOTEZA, KUTEKA NA KUSIGINA CONSTITUTION....NDIYO NAMBA MOJA KWELI!
 
Nahisi Mwandishi wa makala hii ni Profesa Kabudi au Kitila Mkumbo.
Watoto wako wangejua chakula chao unakitafuta kwa njia hii ya unafiki wangeweza kudhila kukila na kuona bora kuokota majalalani na kwenye mapipa kuliko kula mezani kwa fedheha.
Binadamu lazima ulinde utu wako
 
Sio afrika tu semeni duniani kote na sayari zote haipo serikali kama hii na rais kama huyu:

Akili za choooni hizi!!!!
 
Chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.

Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.

Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Kuweka record saw,tuwekee hapa ni nchi gani imewahi kumtaka!Ni vema ukatuwekea na link ya habari walau tujiridhishe!
NB:Tunaomba taarifa rasmi ya nchi husika!
Isijekuwa kama yale ya TBC walioreport kuwa Trump amkubali JPM mwisho wa siku ikawa ni uongo na wakasimamishwa kazi!!!Washukuru Mungu upotoshaji ulihusu kumsifia jiwe,ingekuwa ni upotoshaji wa kumkosoa leo hii wangekuwa jobless!
 
Chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.

Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.

Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
Mna kazi kweli kweli hebu thibisha mkuu la sivyo ndio wale wale wasaka UDC
 
Heshima kwenu wana JF pamoja na Mh. Magufuli,

bandiko hili nalitoa maalumu kwa rais wetu wa Tanzania kwakufanikiwa kuwapoteza maboya wale woote wanaotumika kwakujua ama kutokujua na genge linalojifanya kumnadi Bwana Membe.

nampongeza saana kwakua nia yao ilikua kumgombanisha Mh. Rais na bwana Membe au kumfanya Mh. Rais kuishi kwa wasiwasi hata kumpelekea kufanya maamuzi mabaya kwakuhofia kupinduliwa.

Nampongeza saana kwakua kilichokua kikiendelea kuhusu genge la Bwana Membe ni Uhaini tena wa kitoto na kijinga ndio sababu Mh rais wetu ngangali akalipuuzia kwakua si saizi yake kutokana nakua na idara ngangari ndani ya chama na serikali.

najua Bwana Membe wala hausiki na ninafurahi kwakua Rais na mwenyekiti wa ccm amefahamu fitina hizi zinazotengenezwa na wahanga wa maamuzi yake.
Kweli ccm ni imara ccm ni moja tena katika umoja iogope pita mbali kabisa usihadaike na kauli ya siku moja ya mwana ccm akikiponda chama chake juu watakaa na chama chake watayamaliza na kesho anasifia.

Pole kwa upinzani kwakuingia kwenye huu mtego mkidhani kwamba kwa mara nyingine ccm itajibomoa tena... nawaambia kama mlivyodhani 2015 ikashindikana msitegemee njia hio hio 2020 itawezekana.

ccm ni itikadi yaani kunywa maji ya bendera msipotegemea nguvu zenu wenyewe kuiondoa ccm basi mtaitwa upinzani mpaka mwisho wa dahari.

nawatakia;
siasa safi na kazi njema!
 
Heshima kwenu wana JF pamoja na Mh. Magufuli,

What If Membe would have been the president.View attachment 921988
membe.jpg
 
Wanasiasa bhana yaan kama wanyama Wa mwituni nyie kila siku kuparuana tu
 
Back
Top Bottom