Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
KILA LINAPOTAJWA JINA LA BENARD KAMILIUS MEMBE M.A.VI HUWA YANAGONGA PICHU NA KURUDI NDANI.Tulieni jamani Membe alikuwa anakohoa tu.
Zuwena huyo kwenye picha ndio weweHao Vibaraka na wakosa kazi walisha dharaulika kitambo sana
Magu Rais mpaka 2025
Unaunga mkono bandiko lako mwenyewe?Naunga mkono hoja.
Pumzi huwa anaigawa mamak..o au bwana..ko?Hao Vibaraka na wakosa kazi walisha dharaulika kitambo sana
Magu Rais mpaka 2025
Tupo mbona au huoni na kusikia namna rais wetu anavuofanyaHIVI BADO KUNA WATU WANASIFIA AWAMU HII YA TANO
Hivi wanasifia ili tu waonekane wamesifia?
Wanasifia ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanasifia kwakuamini kwamba awamu ya 5 inaongozwa na Makanika?
Wasifiaji ni wafaidika wa awamu ya 5
Wasifiaji wanafanya hivyo kutokana na mahaba binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wasifiqji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
Hahaa! Mkuu Malcom unataka tujadili mafanikio ya Magu?! Anyway, mimi nitadokeza yale ambayo kwa 100% yametokana na mikono yake mwenyewe:
Hahahaha,kuna yule kipenzi cha Babaenu jana kaenda tena kulia mimbarinindo utaelewa kama ni majukumu ya mkeo ama serikali ya ccm....unajiita mwanaume kupambana uwezi kazi kulia lia mitandaoni tuu
Anawalilia mashoga mnaojiaminiHahahaha,kuna yule kipenzi cha Babaenu jana kaenda tena kulia mimbarini
Hahhahaha inatosha sana , utawaumiza mioyo wazalendo wetuuHahaa! Mkuu Malcom unataka tujadili mafanikio ya Magu?! Anyway, mimi nitadokeza yale ambayo kwa 100% yametokana na mikono yake mwenyewe:
View attachment 922518
- Ujenzi wa International Airport kijijini Chato, kijiji ambacho pamoja na upekenyuzi wangu wote, nimeshindwa kuona commercial and/or economic viability ya uwanja husika!
- Ununuzi wa ndege only later to reveal...
Niendelee, au inatosha?!
Huyo yupo nje ya Lumumba hajui kinachoendelea.Hili la Membe wanalo sana tu na halijaisha, tena kuanzia mwakani yule mzee hatakuwa anapata usingizi.
Lumumba wakisikia jina la Membe matumbo huwa yanawakata!Hili la Membe wanalo sana tu na halijaisha, tena kuanzia mwakani yule mzee hatakuwa anapata usingizi.
Hahahaha ataachaje kuogopa ?Lumumba wakisikia jina la Membe matumbo huwa yanawakata!
Magu mwenyewe anamuhofia sana Membe kwa sababu zilizo wazi kabisa! Anafahamu Membe is far smarter compared to the man himself! I still remember wakati wa Mkutanao Mkuu uliomchagua JPM kama Mwenyekiti jinsi JPM Team ilivyokuwa wanaweweseka!
Tena kipindi kile Membe alikuwa na safari nje ya nchi lakini kuna mtu wake wa karibu akamwambia, fanya uwezavyo lakini make sure unahudhuria Mkutano Mkuu manake usipoonekana, Magu ataona ndo basi, yale yanayosemwa ni kweli ndo maana hata kwenye mkutano mkuu hukuhudhuria!
Membe alivyotimba Dodoma, Team Magu na Magu mwenyewe ikawa inasubiria kuona kura moja ya HAPANA ambayo bila kujali ingekuwa imepigwa na nani, Team Magu (siwazungumzii hawa wapiga makofi wa JF) inge-conclude hiyo ni kura ya Membe ambae hataki kumuona JPM anakuwa mwenyekiti!
Kwa bahati, JPM akashinda kwa 100%, ushindi ambao hata Mwalimu Nyerere sidhani kama alikuwa anaupata!!
Kila nikikaa, huwa nafikiria ni namna maisha ya Membe yatakuwa toward 2020, anywhere from April next year manake kila negative contribution wakati wa Bunge la Bajeti, itaonekana Membe huyo!
I bet, itakuwa ni very embarrasing life from Team Magu ambao hata wakimuona anaingia kanisani tu, wanaamini Membe anaenda kumuomba Mungu JPM asirudi tena madarakani!!!!!
I wish hata huyo Membe mwenyewe aseme "...kama mbwai, mwai tu" ili watu watu waliochoshwa na huu utawala usiojielewa watoe suppor!Tena binafsi nitajitolea kuunda Strategic Online Propaganda Team... msisitizo ukiwa kwenye neno strategic na sio hizi propaganda za kitoto! Tutatumia hata mbinu za SVR RF ambazo ambazo hata FBI na CIA hawataki hata kuzisikia!!!!
You are Foolish foolGreat Leaders Aren’t Threatened by Their citizens’ Ideas or Feedback
Great leaders create an environment where people feel safe to speak up. We see this in the “CCM ruling culture” (a culture of continuous improvement). citizens' aren't afraid of being mocked for having a “bad idea” or an idea that doesn't work out in practice. Even a “bad idea” can be the starting point for a better idea to rule our country, i real see this in Magufuli era,
If the President isn't afraid to be wrong, then citizens won't be afraid.
keep it up Magufuli
why mr Prime minister?You are Foolish fool
which stage man?Dah britanicca umefikia stage hii..??