Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Tulieni jamani Membe alikuwa anakohoa tu.
KILA LINAPOTAJWA JINA LA BENARD KAMILIUS MEMBE M.A.VI HUWA YANAGONGA PICHU NA KURUDI NDANI.

BENARD KAMILIUS MEMBE,MUAFAKA KWA WAKATI MUUFAKA.
NAAM KATIBA YA NCHI INARUHUSU,MTANZANIA YEYOTE MWENYE VIGEZO STAHIKI KUGOMBEA URAIS.

KWA HIYO MEMBE NI MTU SAHIHI BILA2 KUJALI ATAPITIA CCM AU LA...

NAAM ! BENARD KAMILIUS MEMBE FOR PRESIDENTIAL 2020.
 
Kuna siku nilikua nasoma Katika twitter nikaona kileo eti anawshauri CCM wampitishe Membe, nikaona kweli vijana wa Chadema wameanza kuwa hawana maana tena
 
HIVI BADO KUNA WATU WANASIFIA AWAMU HII YA TANO
Hivi wanasifia ili tu waonekane wamesifia?
Wanasifia ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanasifia kwakuamini kwamba awamu ya 5 inaongozwa na Makanika?
Wasifiaji ni wafaidika wa awamu ya 5
Wasifiaji wanafanya hivyo kutokana na mahaba binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wasifiqji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
Tupo mbona au huoni na kusikia namna rais wetu anavuofanya
 
Hahaa! Mkuu Malcom unataka tujadili mafanikio ya Magu?! Anyway, mimi nitadokeza yale ambayo kwa 100% yametokana na mikono yake mwenyewe:
  1. Ujenzi wa International Airport kijijini Chato, kijiji ambacho pamoja na upekenyuzi wangu wote, nimeshindwa kuona commercial and/or economic viability ya uwanja husika!
  2. Ununuzi wa ndege only later to reveal...
ATCL.png

Niendelee, au inatosha?!
 
ndo utaelewa kama ni majukumu ya mkeo ama serikali ya ccm....unajiita mwanaume kupambana uwezi kazi kulia lia mitandaoni tuu
Hahahaha,kuna yule kipenzi cha Babaenu jana kaenda tena kulia mimbarini
 
Hahaa! Mkuu Malcom unataka tujadili mafanikio ya Magu?! Anyway, mimi nitadokeza yale ambayo kwa 100% yametokana na mikono yake mwenyewe:
  1. Ujenzi wa International Airport kijijini Chato, kijiji ambacho pamoja na upekenyuzi wangu wote, nimeshindwa kuona commercial and/or economic viability ya uwanja husika!
  2. Ununuzi wa ndege only later to reveal...
View attachment 922518

Niendelee, au inatosha?!
Hahhahaha inatosha sana , utawaumiza mioyo wazalendo wetuu
Ila daah hii nchi bwana acha tu
 
Hili la Membe wanalo sana tu na halijaisha, tena kuanzia mwakani yule mzee hatakuwa anapata usingizi.
Lumumba wakisikia jina la Membe matumbo huwa yanawakata!

Magu mwenyewe anamuhofia sana Membe kwa sababu zilizo wazi kabisa! Anafahamu Membe is far smarter compared to the man himself! I still remember wakati wa Mkutanao Mkuu uliomchagua JPM kama Mwenyekiti jinsi JPM Team ilivyokuwa wanaweweseka!

Tena kipindi kile Membe alikuwa na safari nje ya nchi lakini kuna mtu wake wa karibu akamwambia, fanya uwezavyo lakini make sure unahudhuria Mkutano Mkuu manake usipoonekana, Magu ataona ndo basi, yale yanayosemwa ni kweli ndo maana hata kwenye mkutano mkuu hukuhudhuria!

Membe alivyotimba Dodoma, Team Magu na Magu mwenyewe ikawa inasubiria kuona kura moja ya HAPANA ambayo bila kujali ingekuwa imepigwa na nani, Team Magu (siwazungumzii hawa wapiga makofi wa JF) inge-conclude hiyo ni kura ya Membe ambae hataki kumuona JPM anakuwa mwenyekiti!

Kwa bahati, JPM akashinda kwa 100%, ushindi ambao hata Mwalimu Nyerere sidhani kama alikuwa anaupata!!

Kila nikikaa, huwa nafikiria ni namna maisha ya Membe yatakuwa toward 2020, anywhere from April next year manake kila negative contribution wakati wa Bunge la Bajeti, itaonekana Membe huyo!

I bet, itakuwa ni very embarrasing life from Team Magu ambao hata wakimuona anaingia kanisani tu, wanaamini Membe anaenda kumuomba Mungu JPM asirudi tena madarakani!!!!!

I wish hata huyo Membe mwenyewe aseme "...kama mbwai, mwai tu" ili watu watu waliochoshwa na huu utawala usiojielewa watoe suppor!Tena binafsi nitajitolea kuunda Strategic Online Propaganda Team... msisitizo ukiwa kwenye neno strategic na sio hizi propaganda za kitoto! Tutatumia hata mbinu za SVR RF ambazo ambazo hata FBI na CIA hawataki hata kuzisikia!!!!
 
Hahahaha ataachaje kuogopa ?
Mkuu Chige Membe ni moja kati ya majasusi wa watanzania waliosoma STRATEGY na ukweli lazima tuuseme kwamba yuko vizuri sana kichwani tofauti na jinsi hawa wapiga vigelegele wa humu wanataka kuaminisha watu.

Ila Membe ana historia ndefu sanaa ya kufanyiwa ndivyo sivyo. Kipindi cha awamu ya kwanza ya Jakaya wakina yeye ndiyo alikuwa ni moja kati ya watendaji wakuu wa mikakati ya mtandao. Bahati mbaya sana aliamini kwamba angeteuliwa awe Waziri Mkuu. Baada ya ushindi wa Jakaya alifanya sherehe nyumbani na kualika watu wazito kibao kusherehekea kwamba yeye ndiye Waziri Mkuu ajaye lakini masikini kumbe akamzunguka na Jakaya akamteua Laigwanani Lowasa.

Kibaya zaidi Membe hata kwenye Baraza la Mawaziri hakuwepo kabisa akapewa unaibu waziri. Basi hichi ni moja ya chanzo cha ugomvi wa Lowass na Membe. Jakaya alikuja gutuka kwamba ameteleza baadae na ndiyo wakaunda mkakati wa kumtoa bwana Laigwanani. Kama unakumbuka Laigwanani alivyokuw anajiuzuru alisema "I grant them their wish" ukweli ni kwamba alikuwa anamzungumzia Membe.

Sasa kuna nyingine kali huko Foreign Affairs. Kuna yule mama Mkurugenzi ambaye yeye ndiye mtaalamu wa siasa za Maziwa Makuu aliyetimuliwa juzi na wakina Magufuli. Minong'ono inasema eti nayeye anahisiwa na mamluki wa hii timu inayompinga Magufuli. Tena unaambiwa kuna siku Wizara ilifanya sherehe kumuaga bwana Membe na yule mama alitoa hotuba ambayo kuna watu walitafasiri vibaya. Wazee wakam-purge, lakini ukweli yule mama hata na Membe zilikuwa haziivi kivileee. Unaijua sababu nyingine ya kumtoa yule mama? (Hili tutaliongea tukiwa wenyewe)

Ambacho wapiga vigelegele hawakijui ni kwamba sehemu mubwa ya timu ya Mkakati ya Bwana Membe wakati wote wa kampeni bado iko pale Foreign Affairs na TISS na ni swala la muda tu kuiamsha. Teh teh teh kazi kweli kweli....

Sasa mimi huwaga nawaangaliaga hawa wapiga vigelegele wa humu halafu nasemaga Hiiiiiiiiiiiiiiii(Ile ya Kihutu)....

Tusubiri tutaona Hysteria kubwa sanaa...
 
Great Leaders Aren’t Threatened by Their citizens’ Ideas or Feedback

Great leaders create an environment where people feel safe to speak up. We see this in the “CCM ruling culture” (a culture of continuous improvement). citizens' aren't afraid of being mocked for having a “bad idea” or an idea that doesn't work out in practice. Even a “bad idea” can be the starting point for a better idea to rule our country, i real see this in Magufuli era,

If the President isn't afraid to be wrong, then citizens won't be afraid.

keep it up Magufuli
 
You are Foolish fool
 
Ndg. Watanzania, Wafuasi,Wapenzi na Washabiki Wote Mlioko karibu na Ndg.BERNARD KAMILIUS MEMBE nawaomba Mumshauri yafuatayo.

1. ASIJITOKEZE HADHARANI kujibu Upuuzi wowote Ule Unaoanzishwa na MUSIBA ambaye ni Kibaraka wa JIWE.

2. Kama Ameshapanga Timu yake kwa ajili ya 2020 Basi aendelee Kuinoa na Kuiongezea Nguvu zaidi Katika Maeneo ya Kimkakati na Kisera.

3. AJITAHIDI SANA KUFANYA LOBBYING KIMYA KIMYA hii itamsaidia Kupata Wajumbe wengi wanaomuunga Mkono na Hatimaye Meza Itapinduka Pale CHAMWINO panapo majaliwa 2020.

4. LA MWISHO NAMUASA ndg.BENARD MEMBE atafute Watu Makini wenye kumpa Stratergies Nzuri za Kushinda Uchaguzi kwani "SIASA NI MAHESABU MAGUMU YA KIMKAKATI"

B4P
#NiMembe2020.
 
Back
Top Bottom