Senselesswhy mr Prime minister?
"An idea that doesn't work out in practice".Great Leaders Aren’t Threatened by Their citizens’ Ideas or Feedback
Great leaders create an environment where people feel safe to speak up. We see this in the “CCM ruling culture” (a culture of continuous improvement). citizens' aren't afraid of being mocked for having a “bad idea” or an idea that doesn't work out in practice. Even a “bad idea” can be the starting point for a better idea to rule our country, i real see this in Magufuli era,
If the President isn't afraid to be wrong, then citizens won't be afraid.
keep it up Magufuli
Avunje kwanza kundi lake la kuteka,kupoteza na kupiga watu risasiWasalaam, kuna msemo unasema" hakuna binadamu aliekamilika". Nawaomba watanzania tujaribu kutafakari, pamoja na mapungufu( ya kibinadamu) tumuunge mkono rais wetu ktkt miaka yake atayotawala kwani anania njema, ni mkweli, ni mzalendo, na kubwa zaidi ni mtendaji( ana uthubutu wa kukemea na kuonya hadharani. Tumpe sapoti naamini kwa uzalendo alionao atapong'atuka atatuachia KATIBA nzuri kwa kuruhusu wananchi waiandike upya na yeye ataisaini hata kwa hati ya dharua. Naamini mh Rais Magufuli ana nia njema na sisi watanzania wote. Amekua akisisitiza MAENDELEO HAYANA CHAMA, tumpe nafasi. ni wakati sasa wa kufanya kazi na kumwombea afya njema.
Mungu ibariki JMT.
Duh! Hilo la Membe na sherehe za u-PM nilikuwa sijalinyaka bado ingawaje nakumbuka wakati ule Membe alitajwa tajwa sana kwenye uwezekano wa kuwa PM! Kama kumbukumbu zangu kama zipo sawa, nadhani nami nilikuwa ni miongoni mwa hao walioutarajia u-PM wa Membe!!Hahahaha ataachaje kuogopa ?
Mkuu Chige Membe ni moja kati ya majasusi wa watanzania waliosoma STRATEGY na ukweli lazima tuuseme kwamba yuko vizuri sana kichwani tofauti na jinsi hawa wapiga vigelegele wa humu wanataka kuaminisha watu.
Ila Membe ana historia ndefu sanaa ya kufanyiwa ndivyo sivyo. Kipindi cha awamu ya kwanza ya Jakaya wakina yeye ndiyo alikuwa ni moja kati ya watendaji wakuu wa mikakati ya mtandao. Bahati mbaya sana aliamini kwamba angeteuliwa awe Waziri Mkuu. Baada ya ushindi wa Jakaya alifanya sherehe nyumbani na kualika watu wazito kibao kusherehekea kwamba yeye ndiye Waziri Mkuu ajaye lakini masikini kumbe akamzunguka na Jakaya akamteua Laigwanani Lowasa.
Kibaya zaidi Membe hata kwenye Baraza la Mawaziri hakuwepo kabisa akapewa unaibu waziri. Basi hichi ni moja ya chanzo cha ugomvi wa Lowass na Membe. Jakaya alikuja gutuka kwamba ameteleza baadae na ndiyo wakaunda mkakati wa kumtoa bwana Laigwanani. Kama unakumbuka Laigwanani alivyokuw anajiuzuru alisema "I grant them their wish" ukweli ni kwamba alikuwa anamzungumzia Membe.
Sasa kuna nyingine kali huko Foreign Affairs. Kuna yule mama Mkurugenzi ambaye yeye ndiye mtaalamu wa siasa za Maziwa Makuu aliyetimuliwa juzi na wakina Magufuli. Minong'ono inasema eti nayeye anahisiwa na mamluki wa hii timu inayompinga Magufuli. Tena unaambiwa kuna siku Wizara ilifanya sherehe kumuaga bwana Membe na yule mama alitoa hotuba ambayo kuna watu walitafasiri vibaya. Wazee wakam-purge, lakini ukweli yule mama hata na Membe zilikuwa haziivi kivileee. Unaijua sababu nyingine ya kumtoa yule mama? (Hili tutaliongea tukiwa wenyewe)
Ambacho wapiga vigelegele hawakijui ni kwamba sehemu mubwa ya timu ya Mkakati ya Bwana Membe wakati wote wa kampeni bado iko pale Foreign Affairs na TISS na ni swala la muda tu kuiamsha. Teh teh teh kazi kweli kweli....
Sasa mimi huwaga nawaangaliaga hawa wapiga vigelegele wa humu halafu nasemaga Hiiiiiiiiiiiiiiii(Ile ya Kihutu)....
Tusubiri tutaona Hysteria kubwa sanaa...
Wasalaam, kuna msemo unasema" hakuna binadamu aliekamilika". Nawaomba watanzania tujaribu kutafakari, pamoja na mapungufu( ya kibinadamu) tumuunge mkono rais wetu ktkt miaka yake atayotawala kwani anania njema, ni mkweli, ni mzalendo, na kubwa zaidi ni mtendaji( ana uthubutu wa kukemea na kuonya hadharani. Tumpe sapoti naamini kwa uzalendo alionao atapong'atuka atatuachia KATIBA nzuri kwa kuruhusu wananchi waiandike upya na yeye ataisaini hata kwa hati ya dharua. Naamini mh Rais Magufuli ana nia njema na sisi watanzania wote. Amekua akisisitiza MAENDELEO HAYANA CHAMA, tumpe nafasi. ni wakati sasa wa kufanya kazi na kumwombea afya njema.
Mungu ibariki JMT.