Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ntakuchagua tena MAGUFULI 2020, unayoyafanya nimelizika nayo 100%, sioni sababu yakukunyima KURA yangu
 
Pumbav, hata kiswahili hujui kuandika vizuri, utajuaje maswala ya uchumi na utawala bora!!!

Halafu mpe taarifa huyo baba yako MUSIBA (katibu mwenezi wa wanafiki), kosa la DEFAMATION/UCHAFUAJI WA HESHIMA nchini litamsubiri mpaka kinga yake iishe ya JPM au atakapo chokwa, atapelekwa kizimbani na fidia watakazo dai hao watu aliowachafua, itabidi auze viwanda vyake vya magazeti + chupi + viatu + ile jezi ya taifa stars anayovaa kwenye kujirekodi + na madeni juu, ili awalipe hizo fidia (asione wamekaa kimya, wanamlia mingo hio rutty yake).
 
MABASHITE UTAWAJUA TU BILA HATA YA KUANGALIA CV ZAO
 
Mleta mada atakuwa ni mmakonde wa nanyilinyi ambaye hajui tofauti kati ya "R" na "L". Huyu angetufaa sana kwenye kikosi cha fire rescue. Maana wao kila jambo analichukuwa kama lilivyo.

Fools
 
mleta uzi naheshimu maamuzi na hisia zako lkn kusema " natamani utawale nchi hii hadi utakapo choka mwenyewe" hua ni ufa...
sio hekima na busara kwan tanzania kuna watu wengi wa kutawala hivyo akishindwa uchaguzi kwa kura aludi tu chattle aachie wengine, watakuja wengine zaidi ya jiwe
 
Mleta mada atakuwa ni mmakonde wa nanyilinyi ambaye hajui tofauti kati ya "R" na "L". Huyu angetufaa sana kwenye kikosi cha fire rescue. Maana wao kila jambo analichukuwa kama lilivyo.

Fools
Mnatofautiana nini Mura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…