Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
hhhhhhhhhhYako majitu kama ww yalikana uwepo WA mungu ni jambo lakawaida sana na baadae wakashushiwa GARIKA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhhhhhhhhhYako majitu kama ww yalikana uwepo WA mungu ni jambo lakawaida sana na baadae wakashushiwa GARIKA
Kwani mleta uzi ni diaspora?Wananchi Ndiyo Watafanya Maamuzi 2020
Pumbav, hata kiswahili hujui kuandika vizuri, utajuaje maswala ya uchumi na utawala bora!!!
Ntakuchagua tena MAGUFULI 2020, unayoyafanya nimelizika nayo 100%, sioni sababu yakukunyima KURA yangu
Haya ni maamuzi yake kama mkulima wa korosho!Pumbav, hata kiswahili hujui kuandika vizuri, utajuaje maswala ya uchumi na utawala bora!!!
Tatizo hujui tofauti ya "nimeridhika" na "nimelizika".Ntakuchagua tena MAGUFULI 2020, unayoyafanya nimelizika nayo 100%, sioni sababu yakukunyima KURA yangu
Mnatofautiana nini Mura!Mleta mada atakuwa ni mmakonde wa nanyilinyi ambaye hajui tofauti kati ya "R" na "L". Huyu angetufaa sana kwenye kikosi cha fire rescue. Maana wao kila jambo analichukuwa kama lilivyo.
Fools
Rubbish rudi kwenye magroup ya whattsup na FB hapa si saizi yako.Ntakuchagua tena MAGUFULI 2020, unayoyafanya nimelizika nayo 100%, sioni sababu yakukunyima KURA yangu
Hawana jeuri hioWananchi Ndiyo Watafanya Maamuzi 2020