Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mapenz mubashara
 
Wenye chuki nae watajaa saivi,ngoja niwachungulie kwa huku.
 
Hata mimi nimempenda kwakweli. Najua atakuja na huku kwenye nyanya
 
Embu mnisaidie kuweka kile kiitikio cha wimbo wa Mwanza


Espcly pale wanapo taja jina la Stand kuuu
 
Unampenda mwaaaa c umpe tu ili mapenzi yanoge zaidi
 
Hotuba za Mkuu wa nchi huwa zinanifurahisha sana wakati mwingine.
Silahisi Mheshimiwa amalize hotuba bila kichekesho yaani hadi raha kumsikiliza.
Hii ni copy ya Mwalaimu JK Nyerere.

Kingine JPM anazo data nyingi sana za nchi huwezi mdananya kwahiyo hata hotuba haimsubui.

Viongozi wengi hupata shida kuhutubia kwasababu hawana KUMBUKUMBU .

LISONGESHE JPM
 
Du...ushawakera watu.!tayari washakuita we buku7.Mie mwenyewe nataka kuhama ufipa kinachoniuzi ni roho za korosho za watu wa huu mtaa.Unachotakiwa kufanya ni kupinga na kuponda tu ndo salama yako..!
 
Afrika inamlilia magufuli? Hahahah hata kama unamlamba viatu si kwa uwongo huu. Hakuna nchi , not even rwanda ambao ni washikaj zake wamemlilia. Acheni kumdanganya rais ili mpate vyeo
 
Jiwe hutokana na mwamba.Mwamba huu upo katika kila pembe za Dunia.Mwamba ukipasuka vipande vipande huunda Mawe Ambayo nayo yakivunjika vunjika huunda vipande vidogo vidogo zaidi vya mchanga tena vya aina mbalimbali tunavyoita Udongo ambao ndio ardhi hii tunayoishi sisi binadam.

Nimeona thread nying hum Jukwaani watu wakimfananisha Rais wetu na mwamba huu ambao huwa katika ugum wake kiasi kwamba kwa mikono ya mwanadam bila kutumia nguvu ya kutengeneza hauwezi kuupasua wala kuuvunja.HAKIKA nakubaliana na wanaomwitwa hivi Rais wetu maana amekuwa ni mgum,mgum,mgum.... ((((Nkonk...Nkonk...Nkonk....kwa msim wa sasa wa kizazi cha Insta wanasema)))

Ugum wake hakika umejidhihirisha katika maamuzi yake magum ya kukwepa maslahi binafsi na kuzingatia maslahi ya MASKINI wasiokuwa na SAUTI awali.HAKUNA haja ya kuyataja,mwenye akili anaelewa.

Ugum katika kuwadhibiti wazandiki waliokuwa wanajichukulia Mali katika nchi yetu ni ugum ambao kwa sasa tunaona Rais wetu kauvaa bila hofu wala UOGA na leo hii Tanzania sio nchi ya kuingia na kutoka kama Chama Flani kilichoonyesha ulaini sana kama kifuu cha nazi kwa kuacha Itikadi na misingi na kuwakumbatia Vibaraka wa wazandiki hawa.Naona hum Jukwaani wanamwita Jiwe,Nawaunga mkonom...ni Jiwe Haswaaa...

Kwa HAKIKA Jiwe hili haliwezi kuvunjwa na vifuu vya Nazi ambavyo Labda baadae kwa kutumia sayansi ya Viumbe visivyo vya sayari hii wanaweza labda kutumia vifuu hivi kutengeneza machine itakayo Pasua Jiwe hili.
. .....
Acha watunyime misaada,Acha watuite majina Mabaya na Kutuchafua,
ILA UJAMAA wetu
KuJITEGEMEA kwetu,
Ndio MAENDELEO YETU.

Na bila Rais wetu kuwa Jiwe
Na wengine WALIMWITA Chuma awali......
Hatuwezi kupambana na Ukoloni Mambo Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…