Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Huu uzi ungekuwa ni pongezi kwa Mbowe ungeshafutwa Green robots wa Malumba...sorry Lumumba.
 
waulize wakwepa kodi wanaouza hisa zao.Waulize wafanya biashara wa korosho watakwambia Jiwe ni nani?
Juzi huyo huyo muuza hisa alipoenda jumba jeupe mlimshangilia kweli kuwa amemkubali chief janga, leo baada ya kusikia anauza hisa za kampuni zake mnamuita mkwepa kodi
 
KIkwete very smart yeye kachomoa kamuachia afsa mtendaji wa kijiji.
Mlevi anapoanza huduma ya kichungaji, itachukua miongo kuaminika kuwa ameacha kulewa na ameamua kumtumikia Muumba
 
Maamuzi yepi hayo?

1. Alikuta petrol Tsh. 1800/Lita sasa hivi 2500/lita

2. Alikuta sukari Tsh 1500/kg sasa mpaka Tsh 3000/kg

3. Alikuta watu wanaishi nakuitana ndugu, sasa hivi tunaulizana .... Kama ccm Mimi siendi kumzika

4. Alikuta uhasama kati ya makabila na ukanda haujashamili, sasa hivi nikutoka kwakwe mpaka uwanja wa ndege

5. Alikuta bunge linapanga budget .....sasa hivi yeye ndo mipango yote!!!!!! Bunge nikibogoyo

6. Alikuta mahakama walau kiasi INA Uhuru flani, sasa hivi yeye ndie mfungikia watu kesi, na yeye ndo anaamua ..... Mfunge huyo

Sijuwi tuendako kama sio shimoni
 
Chadema, siku zote hufanya maamuzi ya kike, kukimbikia kwa Mwanaume (Muzungu) mwingine kushitaki!
Hahaha!! watakua hawajui pakwenda au wanakua wamelewa pombe, ila tukirudi kwenye mada Mh Magufuli ndiye kiongozi wa nchi, amiri jeshi mkuu, Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kulinganisha mafanikio yake na maamuzi yake na ya wanachadema ambao hawana maamuzi yyte juu ya nchi sidhani kama ni sahihi sana kwa kweli otherwise Chadema wsliwahi kuongoza nchi kabla sijazaliwa.
 
Maamuzi yepi hayo?

1. Alikuta petrol Tsh. 1800/Lita sasa hivi 2500/lita

2. Alikuta sukari Tsh 1500/kg sasa mpaka Tsh 3000/kg

3. Alikuta watu wanaishi nakuitana ndugu, sasa hivi tunaulizana .... Kama ccm Mimi siendi kumzika

4. Alikuta uhasama kati ya makabila na ukanda haujashamili, sasa hivi nikutoka kwakwe mpaka uwanja wa ndege

5. Alikuta bunge linapanga budget .....sasa hivi yeye ndo mipango yote!!!!!! Bunge nikibogoyo

6. Alikuta mahakama walau kiasi INA Uhuru flani, sasa hivi yeye ndie mfungikia watu kesi, na yeye ndo anaamua ..... Mfunge huyo

Sijuwi tuendako kama sio shimoni
Utapata taabu sana
 
Chadema, siku zote hufanya maamuzi ya kike, kukimbikia kwa Mwanaume (Muzungu) mwingine kushitaki!

Hiyo mikopo inayowadhalilisha mmeenda kukopa kwa mwanamke wa kizungu? Yaani huwa napata raha kweli, ikionekana cdm wanazungumza na mzungu inasemwa wanaungana na mabeberu. Serekali ikienda kupiga magoti ipewe hela na haohao mabeberu wa cdm jina linabadilika wanaitwa wadau wa maendeleo!! Ukikubali kulishwa uzalendo uchwara na mshamba jiandae kugeuka kituko hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom