Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M-pesa imeshalia ndin!!!Ndin!!..fungua uzisome tarakimu.Songa mbele Magufuli
Juzi huyo huyo muuza hisa alipoenda jumba jeupe mlimshangilia kweli kuwa amemkubali chief janga, leo baada ya kusikia anauza hisa za kampuni zake mnamuita mkwepa kodiwaulize wakwepa kodi wanaouza hisa zao.Waulize wafanya biashara wa korosho watakwambia Jiwe ni nani?
KIkwete very smart yeye kachomoa kamuachia afsa mtendaji wa kijiji.John Magufuli alifanywa Kuwa Rais ili kuthibitisha ubora wa Urais wa Jakaya Kikwete
Mlevi anapoanza huduma ya kichungaji, itachukua miongo kuaminika kuwa ameacha kulewa na ameamua kumtumikia MuumbaKIkwete very smart yeye kachomoa kamuachia afsa mtendaji wa kijiji.
Tungepata kwanza alifanya maamuzi ya kike ili tuyalinganishe tuanzie hapo.
Tungepata kwanza alifanya maamuzi ya kike ili tuyalinganishe tuanzie hapo.
Hilo ndo lilikua la msingi barbarosa sasa tunaweza kuendelea mkuu. Nashukuru kwa hilo.Chadema, siku zote hufanya maamuzi ya kike!
hahahahahahahahahahaah..........................well said mkuuChadema, siku zote hufanya maamuzi ya kike, kukimbikia kwa Mwanaume (Muzungu) mwingine kushitaki!
Hahaha!! watakua hawajui pakwenda au wanakua wamelewa pombe, ila tukirudi kwenye mada Mh Magufuli ndiye kiongozi wa nchi, amiri jeshi mkuu, Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kulinganisha mafanikio yake na maamuzi yake na ya wanachadema ambao hawana maamuzi yyte juu ya nchi sidhani kama ni sahihi sana kwa kweli otherwise Chadema wsliwahi kuongoza nchi kabla sijazaliwa.Chadema, siku zote hufanya maamuzi ya kike, kukimbikia kwa Mwanaume (Muzungu) mwingine kushitaki!
Utapata taabu sanaMaamuzi yepi hayo?
1. Alikuta petrol Tsh. 1800/Lita sasa hivi 2500/lita
2. Alikuta sukari Tsh 1500/kg sasa mpaka Tsh 3000/kg
3. Alikuta watu wanaishi nakuitana ndugu, sasa hivi tunaulizana .... Kama ccm Mimi siendi kumzika
4. Alikuta uhasama kati ya makabila na ukanda haujashamili, sasa hivi nikutoka kwakwe mpaka uwanja wa ndege
5. Alikuta bunge linapanga budget .....sasa hivi yeye ndo mipango yote!!!!!! Bunge nikibogoyo
6. Alikuta mahakama walau kiasi INA Uhuru flani, sasa hivi yeye ndie mfungikia watu kesi, na yeye ndo anaamua ..... Mfunge huyo
Sijuwi tuendako kama sio shimoni
Chadema, siku zote hufanya maamuzi ya kike, kukimbikia kwa Mwanaume (Muzungu) mwingine kushitaki!
Chadema, siku zote hufanya maamuzi ya kike, kukimbilia kwa Mwanaume (Muzungu) mwingine kushitaki!
Ni kawaida yao kufanya maamuzi ya kidada,siku wakifanya ya kimama basi ni vuvuzela mtaa mzima.Kwahiyo Siku Nyingine Anafanyaga Uamuzi Wa Kike!