Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Yule waziri wa habari Al-sahaf wa Saddam
,alituminisha mambo ni Salama hadi dakika za mwisho kabisa. Hivyo tusiwashangae hawa.
 
Tutamfanyaje huyo Kikwete? So kuna mahakama ya mafisadi? Tumeshindwa nini?
 
Rais ajae Atakuwa na Kazi kubwa sana kuirudisha nchi kwenye mstari huyu kainyosha hadi imepinda na kukatika kabisa,ajae ana Kazi kubwa sana ya kulipa madeni kupunguza deni la taifa,kuinua uchumi mfu, kurejesha tija na morali ya Kazi kwa Watumishi, kuwasukuma ndani wasiojulikana, kujenga demokrasia, kuvutia na kushawishi wawekezaji, kurejesha diplomasia ya kimataifa, kupunguza ttzo la ajira,kuimarisha shillings yetu, kuujenga upya umoja wa kitaifa,kurejesha imani ya vyombo vya dola kwa wananchi, kufukua makaburi yote na kuwasukuma ndani wote waluotumia vibaya Madaraka, vibaya kodi zetu,kukaa kimya juu ya upotevu wa watu,kuinua elimu,kurejesha mifumo ya haki ya kodi, kuifufua Bandari iwe bize kama zamani,nk.Kazi ni kubwa si ya kitoto.Ajae awe na nyota ya Pesa na mwenye BARAKA kila kitu kitakuwa sawa.
 
TANGAZO.
Uongozi wa hospital ya Milembe kitengo cha magonjwa ya akili( psychiatric department) kinatangaza kutoroka kwa mgonjwa wao ndg. Society of jesus masaa mawili yaliyopita,motisha itatolewa kwa atakaefanikisha kupatikana kwa mtu huyo ,aidha uongoz unawaasa wananchi kupuuza maneno ama vitendo vitakavyofanywa na mtu huyo kwani yuko stage ya mwisho.
Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…