Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Uandishi wa ISIS.
Screenshot_2018-11-20-11-06-49.jpeg
 
Yule waziri wa habari Al-sahaf wa Saddam
,alituminisha mambo ni Salama hadi dakika za mwisho kabisa. Hivyo tusiwashangae hawa.
 
Angalia mafisadi wanavtotapatapa walikuwa wameshageuza nchi kama kijiwe. Money laundering ilikuwa kama ibada.
Yaani siamini mpaka akina kimei wamebanwa mpaka eanatumia pesa walizoiba au walizopata kimagumashi angalau kuwanusulu wenziwe.
Aise kikwete alitaka kuiuza nchi kabisa wala alikuwa hajali ilimradi rafiki zake wanafaidi tu.
Mpaka akina hawa ghasia walifikia hatua ya kudhani hili ni shamba lao peke yao ndo mana hata mme wao alifanya namna yoyote jk amteu kuw barozi nje akale kama ndugu zake wengine walivyokuwa wanakuala.
Angalia akina nape walivyokuwa wanafaidi korosho kupitia migogo ya wakulima na hakuna aliyekuwa anajali

Budyanhulu wachimbaji adogowadogo walikuwa wanafunikwa na kufia shimoni mamia kwa maelfu wala hakuna aliyekuwa anajali hata jk mwenyewe vilikuwa havimuhusu. Saaa amepatikana wa kuwatetea.
Ilifika mpaka kagame anakuja kuua hapahapa nchini lakini hakuna aliyekuwa anajali mfano ni mauaji ya prof mwaikusa wa udam kagame alimfata hukuhuku akamuua. Sasa hivi thubutu uone jeshi liko imara kwelikweli na rais yuko imara
Tutamfanyaje huyo Kikwete? So kuna mahakama ya mafisadi? Tumeshindwa nini?
 
Rais ajae Atakuwa na Kazi kubwa sana kuirudisha nchi kwenye mstari huyu kainyosha hadi imepinda na kukatika kabisa,ajae ana Kazi kubwa sana ya kulipa madeni kupunguza deni la taifa,kuinua uchumi mfu, kurejesha tija na morali ya Kazi kwa Watumishi, kuwasukuma ndani wasiojulikana, kujenga demokrasia, kuvutia na kushawishi wawekezaji, kurejesha diplomasia ya kimataifa, kupunguza ttzo la ajira,kuimarisha shillings yetu, kuujenga upya umoja wa kitaifa,kurejesha imani ya vyombo vya dola kwa wananchi, kufukua makaburi yote na kuwasukuma ndani wote waluotumia vibaya Madaraka, vibaya kodi zetu,kukaa kimya juu ya upotevu wa watu,kuinua elimu,kurejesha mifumo ya haki ya kodi, kuifufua Bandari iwe bize kama zamani,nk.Kazi ni kubwa si ya kitoto.Ajae awe na nyota ya Pesa na mwenye BARAKA kila kitu kitakuwa sawa.
 
TANGAZO.
Uongozi wa hospital ya Milembe kitengo cha magonjwa ya akili( psychiatric department) kinatangaza kutoroka kwa mgonjwa wao ndg. Society of jesus masaa mawili yaliyopita,motisha itatolewa kwa atakaefanikisha kupatikana kwa mtu huyo ,aidha uongoz unawaasa wananchi kupuuza maneno ama vitendo vitakavyofanywa na mtu huyo kwani yuko stage ya mwisho.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom