Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wengine roho mbaya tu, choyo tu, gere tu, ufisadi tu, lolote la maana lenye mwelekeo wa kubadili maisha ya watanzania wataliponda na kulipinga. Heko Magufuli.
Wapiga dili, waliozoea kupindisha maslahi ya wanyonge, wavivu wanahaha, wakwepa kodi, wanamuombea mabaya Rais watu afeli waendeleze maisha waliyoyazoea, achana nao mkuu tungewaona waungwana kama wangekuwa wanaeleza na nini kifanyike badala ya kuongelea upande mmoja na kubeza kila analolifanya JPM, huu sio upinzani ni zaidi ya roho mbaya
 
Tumpe mda mkuu, ndo kwanza anaanza....
 
Aisee huyu bwana ni MOTO!, anapiga kazi ni balaaa! hata mihimili mingine ikiwa na 'MIND SET' YA "HAPA KAZI TU" nchi hii tutaenda kwa kasi ya ajabu!
 
Ct scan, MRI,echo zile za wachina zilishaharika, Na OGD machine, Na ECG
 

Haa haa mkuu nimefurahi sana hii thread chezea tinga tinga
 
Hakika na Bavicha wote wamekiri kuwa Magufuli ni jembe...

Cc atoto
 
Last edited by a moderator:
Tunataka watu kama nyie sio wale wa oooooh ''moto wa mabua'', mara ''nguvu ya soda'' au ''hata JK alianza hivi hivi''
 
Mimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji

Namshukuru Mungu Kuruepusha na Membe. Kaka Buyungu tumempiga chini Chiza una taarifa hiyo?
 
viva magufuli viva magufuli fundisha watu kazi na kila mtu ale kwa jasho.viva magufuli ?10.wataisoma namba watakapoona moto hauzimi.
 
Nyoosha hao wala rushwa wanyooke na watendaji wabovu pia wawajibike kuwahudumia wananchi.

Rais wangu JPM hakikisha unakula sahani moja na hao watu wa halmashauri, pesa nyingi inapotea.

Go Magufuli....
 

Nimecheka sana aisee daah!!!!watu muna vituko!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…