Mandela pia alikuwa anaitwa gaidiUnawekaje Pamoja Mzalendo Mandela na Vibaraka Wa ACACIA?
They Once Called Mandela a TerroristUnawekaje Pamoja Mzalendo Mandela na Vibaraka Wa ACACIA?
Wewe na nano? Weka uchiVibaraka wanalialia kila siku mtandaoni.
Mungu yuko pamoja nasi ni nani wa kutuyumbisha?
Nakugongea "like" sio kwa comment hii bali kwa kukuona wewe ni jamii ya wale wavukao mto mara bila kuchukua tahadhali dhidi ya mamba!Ndege mbn unazinunua kwa hao unawo waita mabeberu!
Ova
Kibaraka wa Acacia na mashogaMkombozi wa wanyonge na raisi ajae 2020
View attachment 968927
"Hii ni nchi yetu sote na sio mali ya CCM"
Huyo mkuu wenu wa mkao sardalama aliyepandiziwa mbegu jee hamumuoni.Kibaraka wa Acacia na mashoga
Vingapi viko kwenye mipango na havijafanyika?hivyo vitu ulivyoweka hapo juu hata rais asingekuwa yeye vingefanyika,hatakama rais angelikuwa kingwendu sababu vilikuwa tayar kwenye mchakato wa kufanyika hata kabla yeye hajawa rais,acheni kutuletea cheap propaganda.
Mtalemba sana ila mmeshafikia mwisho wenuAngekuwa jiwe
1.katika serikali watu wangepondwa lakini ukweli dhahiri ni kuwa katika serikali yake wananchi tunaheshimika Sana na ofisi za umma.huduma zinazidi kuboreka
2.katika serikali yake asingekuwa akisikiliza matatizo ya watu lakini amekuwa karibu na nchi yake na wapiga Kura wenye nchi.
3.katika serikali yake angekuwa hafuatilii mambo.jiwe halina uhai.lakini badala yake amekuwa mfuatiliaji wa mambo yote yanayoendelea wizara zote.
Yeye Ni JUA
1.Na ndo maana katika serikali yake amewachoma wasio penda haki ya ukweli.wengi tumewaona mafisadi mpaka Sasa hivi wameunguzwa na Jua.
2.zaidi ya yote amezingatia sheria hasa kwenye uwajibikaji.mambo yanaamuliwa haraka kwa sababu sheria zipo wazi Kwanini taasisi za ndani zicheleweshane mambo.kwa Sasa mwekezaji yoyote aje TU azingatie vigezo na sheria.biashara iko wazi.
3.ameunganisha wengi.jua linakusanya vyote.Magufuli amejitwika jukumu la kuunganisha watanzania maana tulipokuwa tunaelekea ilibaki siasa zitupiganishe.tofauti na hapo ingekuwa my anakuja anakuua anakuchoma hata kisu.jua linatulindia amani
4.nuru inaenda kwenye giza.kila siku hotuba yake moja tu huwa inamaliza waongo wengi tu na ndio maana utapeli unapungua,watu wanazidi kuwa wajanja,biashara nyingi za magendo lazima zife tu ili zile halali zichipue.
Angekuwa jiwe

Watanzania wamefikia hapa na wewe bado unasifia tu...au unahongwa
View attachment 969443