Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Magufuli rais wetu inabidi awekewe ulinzi mkubwa na mkali. wako watu wamekaa mkao wa kutaka kuhujumu kila kitu..
Na kweli.Kwa utendaji huu!
Habari ya mjini ni Magufuli!!
Nov 2015.Ata Mimi nilitaka kusema hivyo hivyo....
Handsome wa msoga kapotezwa ndan ya week tu chezea HAPA KAZ TU u-handsome mwisho ilikuwa November 5.
Hadi leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]?
mi mwenyewe nimeshaanza kumuona kikwete FISADI PAPA!Inamaana haya madudu anayoyaibua Magufuli sasa hivi yeye alikua hayaoni?!nachelea kusema kwamba Kikwete alituhujumu wananchi hasa sisi wa kati na chini
Kikwete alianza kama JP.
Tusubiri matokeo tu.
Hata uchaguzi ukirudiwa leo nitampigia tena lowassa
kwa kasi hii yamaghufuli anahitajika spika mchapa kazi na sio mdebwedo kama bibi kiroboto...
Kweli ni Rahisi sana kuwatawala watanzania. Yaani haya maigizo ya MAGUFULI watu wameshaingia "kingi" nasurrender uraia wa Tanzania, bora niwe mnyarwanda tu.
[emoji848] [emoji848] walikuwa mafisadi au?Yaani tulinyanyasika mno. Mi karibia rafiki zangu 100+ niliwaondoa kwenye facebook friends list. Walikuwa wananikera. Wengine ni wasomi wa PhD na ni lecturers vyuoni yaani wote walikuwa wametekwa na mzee mamvi na DJ Mbowe. Ila uchaguzi huu umenipa funzo, kuwa tanzania tuna kizazi cha wavivu kufikiria na wala rushwa waliokubuhu, wale wanaolalamika ni kwamba hawajapata nafasi tu ya kupiga hela, ndiyo maana nikakasirika sana juu ya ulofa wa rafiki zangu wasomi.
Amefanya lipi jipya ambalo hatukukiona kwa Mkwere....Tunasubiri Mahakama ya MAFISADI na watu watakaofikishwa huko
Mjomba alikuwa msanii wa selfies yule,Rais huyu tulimwona hata kabla ndio zake...
nyie acheni ndoto , Urais ni taasisi si Mtu mmoja ni mapema sana kuanza kumchukiza Mungu , mlisema kikwete ni wa Mungu ona aliyoyafanya , mmeanza tena ! muwe na subira hamjui siasa za nchi hii haina heri
tulia siku ziende ndo utoe sifa bado mapema.
ni sawa ulivyopata Mke ukafunga ndoa , baada ya mwezi ngumi zinapigwa tulia kwanza
bila shaka kikwete and co wanajisikia vibaya sana kuona jamaa anavyo wa-prove wrong ktk utendaji wao.nina shaka hao ndio watakuwa wa kwanza kupanga mikakati ya kishetani ya kummaliza.magufuli my president be extra carefully.
Kweli mkuu Ccm wamerudisha imani kwa watanzania.Kwa jinsi Magufuli anavyoperform, nindhahirimkwamba Watanzania wengi wameanza kuamini kuwa CCM ilifanya chaguo sahihi. Taratiiibuuu nyoyo za Watanzania wengi zimeanza kurejesha matumaini kwa CCM huku wakiachana na zile Baiskeli za Mbao.
Hongera sana JPJM. Hapa Kazi Tu imerejesha heshima ya chama chetu
[emoji849][emoji849][emoji849]Ha ha ha haaahaaa kwa speed hii ni km namwona Lowa-hassa akiijaza pampass mzigo kwa hofu ya tingatinga!
Wamerudisha kwakoKweli mkuu Ccm wamerudisha imani kwa watanzania.