Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Naam! Siku hizi ulinzi wake umeghubikwa na maswali. Kwanini apewe ulinzi wakati mkali vile wakati yupo nchi ya amani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda unaongea.
Magufuli rais wetu inabidi awekewe ulinzi mkubwa na mkali. wako watu wamekaa mkao wa kutaka kuhujumu kila kitu..
 
[emoji848] [emoji848].
mi mwenyewe nimeshaanza kumuona kikwete FISADI PAPA!Inamaana haya madudu anayoyaibua Magufuli sasa hivi yeye alikua hayaoni?!nachelea kusema kwamba Kikwete alituhujumu wananchi hasa sisi wa kati na chini
 
Yaani tulinyanyasika mno. Mi karibia rafiki zangu 100+ niliwaondoa kwenye facebook friends list. Walikuwa wananikera. Wengine ni wasomi wa PhD na ni lecturers vyuoni yaani wote walikuwa wametekwa na mzee mamvi na DJ Mbowe. Ila uchaguzi huu umenipa funzo, kuwa tanzania tuna kizazi cha wavivu kufikiria na wala rushwa waliokubuhu, wale wanaolalamika ni kwamba hawajapata nafasi tu ya kupiga hela, ndiyo maana nikakasirika sana juu ya ulofa wa rafiki zangu wasomi.
[emoji848] [emoji848] walikuwa mafisadi au?
 
Bwana we!
nyie acheni ndoto , Urais ni taasisi si Mtu mmoja ni mapema sana kuanza kumchukiza Mungu , mlisema kikwete ni wa Mungu ona aliyoyafanya , mmeanza tena ! muwe na subira hamjui siasa za nchi hii haina heri
tulia siku ziende ndo utoe sifa bado mapema.

ni sawa ulivyopata Mke ukafunga ndoa , baada ya mwezi ngumi zinapigwa tulia kwanza
 
Kabisa.
bila shaka kikwete and co wanajisikia vibaya sana kuona jamaa anavyo wa-prove wrong ktk utendaji wao.nina shaka hao ndio watakuwa wa kwanza kupanga mikakati ya kishetani ya kummaliza.magufuli my president be extra carefully.
 
Kwa jinsi Magufuli anavyoperform, nindhahirimkwamba Watanzania wengi wameanza kuamini kuwa CCM ilifanya chaguo sahihi. Taratiiibuuu nyoyo za Watanzania wengi zimeanza kurejesha matumaini kwa CCM huku wakiachana na zile Baiskeli za Mbao.

Hongera sana JPJM. Hapa Kazi Tu imerejesha heshima ya chama chetu
Kweli mkuu Ccm wamerudisha imani kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom