Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Magufuli anacheza huu mchezo vizuri sana.watanzania wameanza kurudishiwa siha zao katika nyuso zao.watanzania Wana akili Sana wanapenda Sana kuambiwa ukweli na bahati mbaya miaka ya nyuma kidogo hapa wamedanganywa hatimaye Sasa wamempata Rais asiyeficha kitu.mnaomia roho raisi anapoeleza ukweli endeleeni kuumia hivohivo.
 
Hahaha siyo kwamba wanafurahia kumuona Tundu Lisu live kutoka BBC?! Usimdanganye muheshimiwa nyie ndio mnafanya anabwatuka.
 
Mwaka wa nne huu walahi, bado mpo na ngonjera tu za kupendwa walahi, baba yenu hana kazi walahi kazi yake ni kuzindua matundu ya choo na kuita watu nyumba nyeupe walahi kujisafisha, anapenda kuwa live yeye tu alafu wananchi kawazimia local chanels Walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeamua kuanzisha ID yenye jina la ISIS ili iweje.umchafue mwenzako acha uzuzu wewe huna akili usidhani Kama utatuchanganya.
 
Umeamua kuanzisha ID yenye jina la ISIS ili iweje.umchafue mwenzako acha uzuzu wewe huna akili usidhani Kama utatuchanganya.
Uwiii hahaha machadema mmepanic walahi viva jpm walahi

Ila yule mzee naskia Kingereza hakipandi walahi ndio maana hana kazi za maana za kufanya walahi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha wanafiki ndio walivyo hupenda sana kusifiwa kuliko kukosolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…