Nilisahau, huwa inawekwaje please?
Unachofurahia Ni kuona eti "Raisi hajazungumza kwenye vyombo vya Habari takribani mwenzi mzima."Wanabodi,
Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.
Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.
Nelson,
Uvinza, Kigoma.
wapinzani wanakosa tafsiri ya hili.
Edit uzi wako ongezea kuweka namba yako mkuu chungulia salio kwenye sim,buku7 fc watakufanyia muhamalaNilisahau, huwa inawekwaje please?
Amelikoroga kwenye korosho huko na kampuni ya Kenya waliyotangaza atanunua korosho imepotelea hewani ndio maana anajificha kwa aibu..
Shilling nayo kuporomoko kumemchanganya, aliko kajifungia chumbani anatafuta kick ya kuibukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa asante sana. ni DM basi kama kuna mgao unataka kunipatiaEdit uzi wako ongezea kuweka namba yako mkuu chungulia salio kwenye sim,buku7 fc watakufanyia muhamala
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
lile vumbi la Lissu kule majuu ni chloroform tosha!!Wanabodi,
Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.
Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.
Nelson,
Uvinza, Kigoma.
Kampuni ya kimjini mjini.. Eti pesa tunayo ila benki waliotupa pesa hawataki wajulikane.. Ogopa biashara za gizaniHii kampuni itakuwa na roho ya korosho, watamuingizaje kingi jiwe letu?
Ngoja niwa tag buku7 fc wakuangalieSawa asante sana. ni DM basi kama kuna mgao unataka kunipatia
Sikuhizi anajua akiongea nuksi tunanyaka kila sentensi.Hahaha jamaa yako kaishiwa hana ... anajaribu kuangalia kitu kipya cha kufanya ambacho kitampa credit hakioni ... hii ni baada ya yeye kubaini kwamba alikuwa ana zindua mpaka miradi ya visima
Sent using Jamii Forums mobile app