Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wanabodi,

Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.

Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.

Nelson,
Uvinza, Kigoma.
Unachofurahia Ni kuona eti "Raisi hajazungumza kwenye vyombo vya Habari takribani mwenzi mzima."
Na kua Eeeti; anawatumia Mama Samia na Mawaziri wake na hususani Waziri mkuu Majaliwa."

Q Are
you trying to say kua Mheshimiwa Rais alikua hafurahishi pale alipokua akizungumza yeye wenyewe badala ya kuwatumia?.
 
Hii kampuni itakuwa na roho ya korosho, watamuingizaje kingi jiwe letu?
Amelikoroga kwenye korosho huko na kampuni ya Kenya waliyotangaza atanunua korosho imepotelea hewani ndio maana anajificha kwa aibu..

Shilling nayo kuporomoko kumemchanganya, aliko kajifungia chumbani anatafuta kick ya kuibukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.

Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.

Nelson,
Uvinza, Kigoma.
lile vumbi la Lissu kule majuu ni chloroform tosha!!
 
JPM akihutubia lazima mtu ang'oke sasa ni zamu ya Mama samia na Pm kufumua madudu
 
Back
Top Bottom