JPM akihutubia lazima mtu ang'oke sasa ni zamu ya Mama samia na Pm kufumua madudu
Mbona namba nimeweka, haionekani?Brother naomba nikukumbushe kitu muhimu. Umesahau kuweka namba ya simu. Nafasi ya ded itigi bado iko vacant
Mkuu umesahau kuweka namba ya simu.Wanabodi,
Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.
Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.
Nelson,
Uvinza, Kigoma.
Sas kama akiongea anajikuta kadanganya anakosea kila kona mambo ayaishi ataachaje kukaa kimya sasa exampl koroshow
Sent using Jamii Forums mobile app
Upinzani kamwe hautamwelewa Dkt JPM jinsi anavyofanya siasa na kuwaendesha kwa kauli na matendo yake.Jiwe anaona kila kitu kaharibu. Kaamua kujifungia kwenye vyumba wa magogoni. Jiwe ni failure big time.
Wanabodi,
Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.
Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.
Nelson,
Uvinza, Kigoma.
Ni kweli hana mfano hapa duniani maana yeye anategemea akifa akawe kiongozi wa Malaika. Hata Nyerere hakuwahi kuwaza hivyo.Upinzani kamwe hautamwelewa Dkt JPM jinsi anavyofanya siasa na kuwaendesha kwa kauli na matendo yake.
JPM hana kiongozi wa mfano wake hapa duniani kwa jinsi hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana muda wa kutafsiri ukichaawapinzani wanakosa tafsiri ya hili.
Nelson wapo wengi,weka na ya simu kabisaWanabodi,
Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.
Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.
Nelson,
Uvinza, Kigoma.
Koroshow inamtesa,uso umejaa aibuwapinzani wanakosa tafsiri ya hili.
Aiseee,ni wewe au kuna mtu ka hack akaunti yako?Amelikoroga kwenye korosho huko na kampuni ya Kenya waliyotangaza atanunua korosho imepotelea hewani ndio maana anajificha kwa aibu..
Shilling nayo kuporomoko kumemchanganya, aliko kajifungia chumbani anatafuta kick ya kuibukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaoneaga huruma sana kwa kujitengenezea furaha za muda ..siku JPM akija kuliongelea suala la korosho mtaumbuka na kuhamia kwenye ajenda nyingine.Hakuna ajenda mtakayoikimbilia ambayo Magufuli haijaifanyia kazi vilivyo.sakata k koosho kimemvua nguo mh siku zote muungwama akuvuliwa nguo uchutama.
Don't hate,Hawana muda wa kutafsiri ukichaa
I hate ccm
Hivyo ukijumlishwa na wewe na wana lumumba wenzako?Mkuu amezindua Viwanda 3600 Nchi nzima.. Sasa anapumzika πππ
Wewe ndio Benson Mramba?Utendaji wa JPM ulining'oa kambi rasmi ya upinzani. Mwaka wa kwanza wa uongozi wake nilikuwa BAVICHA. Mwaka wa pili nikamsoooooma nikaona hapana. Ngoja niwe neutral. Mwaka wa tatu nikaona nimuunge mkono asilimia zote. Rais anachapa sana kazi ukilinganisha na awamu zilizopita. Akipiga hivi miaka 5 halafu akachaguliwa tena miaka mingine 5, Tanzania ileee yenye asali naiona.