Uwiiihv isis kwa siku mnalog in wangapi walah
Nilianza kufurahi kuwa Rais anaendelea kuungwa mkono na mataifa ulimwenguni lakini kumbe mleta mada ni kati ya wale wanawania uwaziri. Tuliwahi kuambiwa Trump anamkubali Rais wetu kumbe si kweli. Labda ingetafutwa njia nyingine ya kupata watu wa kuteua.
eh eh nmekumiss halafu hv weye mrembo eh? nashangaa unawezaje ingia top ten ya like umeanza mwaka 2016 wakati vikongwe tumejoin 2011 hata top 100 hatupo na tunapost kila siku ah ah au unanunua like nnUwiii
Niko mwenyewe jamani
Duh, nilifikiri umenimiss
- Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC) , Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna ambavyo inapambana kulinda rasimali zake za asili na kudhibiti utoroshaji haramu wa fedha toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea.
- Akiwasilisha mada kuhusu juhudi za Tanzania katika eneo hilo Mh . Dkt Damas Ndumbaro, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alieleza mafanikio hayo ni matokeo ya utashi wa kisaisa ambayo Tanzania inayo.
- Jumuiya za kimataifa na nchi mbalimbali zimempongeza Dkt Magufuli, Rais wa Tanzania kwa kuongoza mabadiliko ya kiuchumi ambayo yameleta mafanikio katika utekelezaji wa Malengo ya Endelevu ya 2030 kama vile Elimu Bure , Kuimarisha Huduma za Afya, ujenzi wa Miundombinu na mkakati wa kuendeleza Viwanda.
Hahahahaeh eh nmekumiss halafu hv weye mrembo eh? nashangaa unawezaje ingia top ten ya like umeanza mwaka 2016 wakati vikongwe tumejoin 2011 hata top 100 hatupo na tunapost kila siku ah ah au unanunua like nn
niamini tu nduguNatamani nikuamini sema Avator I.D zako ni zile sijui jana sikuhongwa vya kutosha..sijui dushe ya jamaa imegoma simama
Ama kwa hakika awamu hii ni ya kipekee kabisa.
Hapa ufipa hawaji
- Tanzania imesifiwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Uhusiano wa Nchi za Kusini (UNOSSC) , Umoja wa nchi Afrika, Karibian na Pasifiki (ACP) pamoja na nchi mbalimbali kwa namna ambavyo inapambana kulinda rasimali zake za asili na kudhibiti utoroshaji haramu wa fedha toka Afrika kwenda kwenye nchi zilizoendelea.
- Akiwasilisha mada kuhusu juhudi za Tanzania katika eneo hilo Mh . Dkt Damas Ndumbaro, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alieleza mafanikio hayo ni matokeo ya utashi wa kisaisa ambayo Tanzania inayo.
- Jumuiya za kimataifa na nchi mbalimbali zimempongeza Dkt Magufuli, Rais wa Tanzania kwa kuongoza mabadiliko ya kiuchumi ambayo yameleta mafanikio katika utekelezaji wa Malengo ya Endelevu ya 2030 kama vile Elimu Bure , Kuimarisha Huduma za Afya, ujenzi wa Miundombinu na mkakati wa kuendeleza Viwanda.
Kama kuna majuha tanzania ni watumishi wa serikali including you! if you are one of them anyway!Naomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna majuha tanzania ni watumishi wa serikali including you! if you are one of them anyway!
SijuiNaomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Excluded then! Yapo yapo tu. Niko kwenye group fulani la wafanyakazi, ndio unaona kuwa nchi hii ni ya ma Lumpen proletariat!
Hakuna cha Maradufu watu wameshateseka vya kutoshaNaomba kuwasilisha waungwana