pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,619
- 2,074
I call them poor daddyKama kuna majuha tanzania ni watumishi wa serikali including you! if you are one of them anyway!
Hizi ni propaganda za kijinga tu.Naomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
acha dharau kijana, watumishi wa umma ndio watekelezaji wa kazi za serikali.Kama kuna majuha tanzania ni watumishi wa serikali including you! if you are one of them anyway!
Hizi ni taarifa za uhakika,kwani ni kosa kupongezaUnapongeza kabla yaaamuzi kutolewa.
Mkuu usijaribu kudharau hata kidogo watumishi wauma. Ni watu waliojitolea kufa masikini sababu yako. Isingekuwa watumishi wa uma we hata kuandika usingekuwa unajua, ungekuwa ushakufa kwa magknjwa, in short kila kitu mtumishi wa uma anahusika kwako. Mabarabara nk. Nakuona mjinga na nusu kwa kutukana watu wanaokufanya uishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga ujinga na ndoto ndoto kila siku.. Watumishi wa umma washaumizwa. Atakaebaki kufanya kazi serikalini ameyataka mwenyewe
Naona Mashetani yakianza kujikombakomba kwa akina pangu pakavu ili wapate dhamana ya kuongoza tena 2020/2025
Naomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe sio Mfanyakaz kwenye group lao umefuata nini?Excluded then! Yapo yapo tu. Niko kwenye group fulani la wafanyakazi, ndio unaona kuwa nchi hii ni ya ma Lumpen proletariat!