Unajua maana ya maradufu kweli wewe au umejiandikia tu kama mlevi wa chang'aa?
Loyalty To country Always,To government When it deserves
Ujinga ujingaNaomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapandisha kwasababu ameona uchaguzi unakaribia hivyo anatumia kudanganya toto ili apewe chakula akisha shiba ataanza visa na madharau kwasasa atanyenyekea kama mtoto mdogo. Usichezee tumbo wwNaomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina connection nao!Kama wewe sio Mfanyakaz kwenye group lao umefuata nini?
Wewe ndo mjinga wa kwanza jf. Kuna dunia isiyo na watumishi wa umma? Umbea wa kike huu, unajiungaje na group halafu unatoa siri??Excluded then! Yapo yapo tu. Niko kwenye group fulani la wafanyakazi, ndio unaona kuwa nchi hii ni ya ma Lumpen proletariat!
Hamna upumbavu mbaya kama huu, kupongeza tetesiNaomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameacha kazi awe dalali wa viwanja. Hii kazi ya ualimu unaweza ukaifanya na ukawa dalali pia. Unless umeanzisha real estate company na una mtaji mzuri. Ila kama ni Ile ya kawaida ya kutaka 10% sababu umeonyesha kiwanja kuna changamoto nyingi zinamsubiri atatakiwa azitatue ili afanikiwe.Mkuu hujaelewa statement yangu ya mwisho "watakaobaki wameyataka wenyewe"? ACHA KAZI SERIKALINI. Ni lazma kuchukua hatua kujinusuru..
Kuna jamaa alikuwa mwalimu sekondari alichukua hatua na kuanza kuwa land broker na baada ya mwaka tuu kaacha kazi serikalini.. Kuliko kulalamika ni vyema kujinusuru
Ina maana wewe chuki yako kwa Rais Magufuli hata kusheherekea Taifa Stars jana hukuweza?uchaguzi umekaribia..
mimi nafuu muweke mbwa 2020 nitampigia kura..
atasaidia ulinzi nyumbani..
nahofia kutekwa na magaidi wa kihutu.
Sent using Jamii Forums mobile app