Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

rais yupi wa kupandisha mshahara mara dufu?!

pesa atatoa wap??

kwani yaliyosababisha akwame kupandisha miaka iliyopita asha yamaliza??!

unataka kuniambia mwenye kupokea milion 1 atapokea 2.

labda nikuulize kwa sasa mishahara tuu ni billion takribani 500 unamaanisha sasa itakua trillion 1??

msipende kuandika kimahaba! sio kila mtu wa JF ni juha!!
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga ujinga
 
Hiyo nyongeza ya mishahara mbona haijaonekana kwenye bajeti ya 2019/2020 inayopendekezwa? Nyongeza hiyo kama ipo ilipaswa ionekane Kwanza kwenye mapendekezo ya 2019/2020.

Anyways, humu kuna maafisa Masuhuli na Budgeting officers watakuja kusema nyeupe na nyeusi kuhusu hilo.
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Anapandisha kwasababu ameona uchaguzi unakaribia hivyo anatumia kudanganya toto ili apewe chakula akisha shiba ataanza visa na madharau kwasasa atanyenyekea kama mtoto mdogo. Usichezee tumbo ww
 
ushauri wako ni UPI Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hujaelewa statement yangu ya mwisho "watakaobaki wameyataka wenyewe"? ACHA KAZI SERIKALINI. Ni lazma kuchukua hatua kujinusuru..
Kuna jamaa alikuwa mwalimu sekondari alichukua hatua na kuanza kuwa land broker na baada ya mwaka tuu kaacha kazi serikalini.. Kuliko kulalamika ni vyema kujinusuru
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna upumbavu mbaya kama huu, kupongeza tetesi
 
Mkuu hujaelewa statement yangu ya mwisho "watakaobaki wameyataka wenyewe"? ACHA KAZI SERIKALINI. Ni lazma kuchukua hatua kujinusuru..
Kuna jamaa alikuwa mwalimu sekondari alichukua hatua na kuanza kuwa land broker na baada ya mwaka tuu kaacha kazi serikalini.. Kuliko kulalamika ni vyema kujinusuru
Ameacha kazi awe dalali wa viwanja. Hii kazi ya ualimu unaweza ukaifanya na ukawa dalali pia. Unless umeanzisha real estate company na una mtaji mzuri. Ila kama ni Ile ya kawaida ya kutaka 10% sababu umeonyesha kiwanja kuna changamoto nyingi zinamsubiri atatakiwa azitatue ili afanikiwe.
 
uchaguzi umekaribia..
mimi nafuu muweke mbwa 2020 nitampigia kura..
atasaidia ulinzi nyumbani..
nahofia kutekwa na magaidi wa kihutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana wewe chuki yako kwa Rais Magufuli hata kusheherekea Taifa Stars jana hukuweza?
Hayo yote ni matokeo ya mtu anaye jali matendo na vipaji vya binadam wenzake.

Kama hukufurahi na sisi jana basi wewe sio mzawa na hustahili kuitwa mtanzania. Kama una vitambulisho vya utanzania basi ni fake au hujavipata kwa njia ya kihalali. Ni vyeti batili! Only in case!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom