kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
Kabisa kaka turudi benki tena tukope tumalizie nyumba zetu za kukaa na zawapangaji na vibiashara maisha yaende.Akifanya hivyo litakua jambo jema, na atakua amekwepa mkuki wa kuzodolewa 2020 kwenye kampeni kuwa hajali maslahi ya watumishi.
Sifa za nini, wanao wajibu ya kuboresha maisha ya watumishi wao.Wewe pundamilia unatakiwa usifie hilo swala baada ya kuona salary slip sii hivi hivi tu kindezi ndezi
But you are an Idiot, fool and pathetic
Utasubiri sana mpaka kiama chako bila hayo unayotabiriWatanzania ikataeni CCM na mawakala wake wa kuwaletea umasikini.
Naiona Algeria na Venezuela siku zijazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwa gubu kama hiliHongera ya nini sasa wewe mjinga... hujui uchaguzi umefika?
Twaweza walipatia majinga yako chama gani.
Ni hilo tu umeona? Punguza husudaNdoto huwa nzuri sana, hasa zile za kuota huku unatembea. Hongera kwa ndoto nzuri na ya kusisimua hadi umesahau kuwa sio masirahi bali ni maslahi
Thanks,I know,it is because I'm not to your side,viva magufuliBut you are an Idiot, fool and pathetic
Kwanini husisubiri wapanđishe kwanza huo mshahara ndo ulète uzi? Uzi kama hizi za tetèsi za kupandishwa mshahara na madaraja zilianzishwa nyingi tangu mwaka jana na hakuna kilichotekelezwaNaomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini husisubiri wapanđishe kwanza huo mshahara ndo ulète uzi? Uzi kama hizi za tetèsi za kupandishwa mshahara na madaraja zilianzishwa nyingi tangu mwaka jana na hakuna kilichotekelezwa
Hizi habari mngekuwa mnapeana huko huko kwenye magroup yenù ya misukule na maroboti ya chama
Hizi habari mngekuwa mnapeana huko huko kwenye magroup yenù ya misukule na maroboti ya chama
ccm mmenyea kambi 2020 mnategemea kupata kura kutoka kwenye kundi gani la jamii nikiangalia makundi yote mmeyajambia kundi kubwa la watu wasio na ajira watawapigia kura? Ukija kwenye kundi la wafanya biashara mkawanyanganya mitaji mnategea watawapigia kura? Ukija kwa wakulima mliwanyanga koroshosho zao mbazi mahindi kahawa mnategemea kupata kura? Wafanya kazi wote kwa ujumla wakiwepo na umma nao mkawajambia tukija kwenye ahadi zenu hata 5% Viwanda na uchumi wa kati mkafeli badala yake mnanunua ndege mbovu kwa garama kubwa Elimu bure mkafali mkaona aitoshi mkajambia na uchumi wetu makaona haitoshi makambia na shilingi yetu 2020 hata mkiiba bado kura za upinzania ni nyingi sana jiandae kisakolojiNaomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
ccm mmenyea kambi 2020 mnategemea kupata kura kutoka kwenye kundi gani la jamii nikiangalia makundi yote mmeyajambia kundi kubwa la watu wasio na ajira watawapigia kura? Ukija kwenye kundi la wafanya biashara mkawanyanganya mitaji mnategea watawapigia kura? Ukija kwa wakulima mliwanyanga koroshosho zao mbazi mahindi kahawa mnategemea kupata kura? Wafanya kazi wote kwa ujumla wakiwemo na umma nao mkawajambia tukija kwenye ahadi zenu hata 5% Viwanda na uchumi wa kati mkafeli badala yake mkanunua ndege mbovu kwa garama kubwa Elimu bure mkafali mkaona aitoshi mkajambia na uchumi wetu makaona haitoshi makambia na shilingi yetu 2020 hata mkiiba bado kura za upinzania ni nyingi sana jiandae kisakoloji
Nimeona ndoto yako nzuri, wote tunatamani iwe kweli. Read between the lines
Elmu bure,huduma bora za afya,ujenzi Wa miundo mbinu vyote hivo vinaibeba CCMccm mmenyea kambi 2020 mnategemea kupata kura kutoka kwenye kundi gani la jamii nikiangalia makundi yote mmeyajambia kundi kubwa la watu wasio na ajira watawapigia kura? Ukija kwenye kundi la wafanya biashara mkawanyanganya mitaji mnategea watawapigia kura? Ukija kwa wakulima mliwanyanga koroshosho zao mbazi mahindi kahawa mnategemea kupata kura? Wafanya kazi wote kwa ujumla wakiwepo na umma nao mkawajambia tukija kwenye ahadi zenu hata 5% Viwanda na uchumi wa kati mkafeli badala yake mnanunua ndege mbovu kwa garama kubwa Elimu bure mkafali mkaona aitoshi mkajambia na uchumi wetu makaona haitoshi makambia na shilingi yetu 2020 hata mkiiba bado kura za upinzania ni nyingi sana jiandae kisakoloji