kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
Kabisa kaka turudi benki tena tukope tumalizie nyumba zetu za kukaa na zawapangaji na vibiashara maisha yaende.Akifanya hivyo litakua jambo jema, na atakua amekwepa mkuki wa kuzodolewa 2020 kwenye kampeni kuwa hajali maslahi ya watumishi.
Aongezee tu maana kuongezeka kwa mishahara kuna faida kwa wote mzunguko wa pesa hadi kwa wakulima wafanyabiasha utawafikia.
Pia JPM aongezee asiongezee mshahara atakuwa tu rais kwa hyo mwache tu atuongezee
Sent using Jamii Forums mobile app