Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Akifanya hivyo litakua jambo jema, na atakua amekwepa mkuki wa kuzodolewa 2020 kwenye kampeni kuwa hajali maslahi ya watumishi.
Kabisa kaka turudi benki tena tukope tumalizie nyumba zetu za kukaa na zawapangaji na vibiashara maisha yaende.

Aongezee tu maana kuongezeka kwa mishahara kuna faida kwa wote mzunguko wa pesa hadi kwa wakulima wafanyabiasha utawafikia.

Pia JPM aongezee asiongezee mshahara atakuwa tu rais kwa hyo mwache tu atuongezee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe pundamilia unatakiwa usifie hilo swala baada ya kuona salary slip sii hivi hivi tu kindezi ndezi
Sifa za nini, wanao wajibu ya kuboresha maisha ya watumishi wao.
Na ni ujinga kwa mlisha mbwa kushinda njaa wakati mbwa wanavimbiwa.
Huo ujinga acheni pigeni kila fursa inapojitokeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini husisubiri wapanđishe kwanza huo mshahara ndo ulète uzi? Uzi kama hizi za tetèsi za kupandishwa mshahara na madaraja zilianzishwa nyingi tangu mwaka jana na hakuna kilichotekelezwa
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
ccm mmenyea kambi 2020 mnategemea kupata kura kutoka kwenye kundi gani la jamii nikiangalia makundi yote mmeyajambia kundi kubwa la watu wasio na ajira watawapigia kura? Ukija kwenye kundi la wafanya biashara mkawanyanganya mitaji mnategea watawapigia kura? Ukija kwa wakulima mliwanyanga koroshosho zao mbazi mahindi kahawa mnategemea kupata kura? Wafanya kazi wote kwa ujumla wakiwepo na umma nao mkawajambia tukija kwenye ahadi zenu hata 5% Viwanda na uchumi wa kati mkafeli badala yake mnanunua ndege mbovu kwa garama kubwa Elimu bure mkafali mkaona aitoshi mkajambia na uchumi wetu makaona haitoshi makambia na shilingi yetu 2020 hata mkiiba bado kura za upinzania ni nyingi sana jiandae kisakoloji
 
ccm mmenyea kambi 2020 mnategemea kupata kura kutoka kwenye kundi gani la jamii nikiangalia makundi yote mmeyajambia kundi kubwa la watu wasio na ajira watawapigia kura? Ukija kwenye kundi la wafanya biashara mkawanyanganya mitaji mnategea watawapigia kura? Ukija kwa wakulima mliwanyanga koroshosho zao mbazi mahindi kahawa mnategemea kupata kura? Wafanya kazi wote kwa ujumla wakiwemo na umma nao mkawajambia tukija kwenye ahadi zenu hata 5% Viwanda na uchumi wa kati mkafeli badala yake mkanunua ndege mbovu kwa garama kubwa Elimu bure mkafali mkaona aitoshi mkajambia na uchumi wetu makaona haitoshi makambia na shilingi yetu 2020 hata mkiiba bado kura za upinzania ni nyingi sana jiandae kisakoloji
 
Elimu bure
ccm mmenyea kambi 2020 mnategemea kupata kura kutoka kwenye kundi gani la jamii nikiangalia makundi yote mmeyajambia kundi kubwa la watu wasio na ajira watawapigia kura? Ukija kwenye kundi la wafanya biashara mkawanyanganya mitaji mnategea watawapigia kura? Ukija kwa wakulima mliwanyanga koroshosho zao mbazi mahindi kahawa mnategemea kupata kura? Wafanya kazi wote kwa ujumla wakiwepo na umma nao mkawajambia tukija kwenye ahadi zenu hata 5% Viwanda na uchumi wa kati mkafeli badala yake mnanunua ndege mbovu kwa garama kubwa Elimu bure mkafali mkaona aitoshi mkajambia na uchumi wetu makaona haitoshi makambia na shilingi yetu 2020 hata mkiiba bado kura za upinzania ni nyingi sana jiandae kisakoloji
Elmu bure,huduma bora za afya,ujenzi Wa miundo mbinu vyote hivo vinaibeba CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna lolote wala chochote.

Mishahara keshasema sio kipaumbele chake. Yeye ni ujenzi na ujenzi. Iwe barabara, SGR, Umeme nk.

Haumizi kichwa kuhusu uchaguzi kwa sababu atatangazwa mshindi kwa vyovyote vile.
 
Back
Top Bottom