Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania


Kwa Serikali ya JPM mimi sina shaka na hili, hata kama haitakuwa kwa kiwango hicho lakini naamini kila mtumishi wa umma lazima ataridhika na nyongeza itakayotolewa. Ushauri wangu tu ni kuwa wakishapandisha mishahara, wahakikishe kuwa mishahara mipya inalipwa by July 2019 ili kusudi kusiwe na accumulations ya arrears! Imekuwa trend tangu mwaka 2012 kuna taasisi ambazo zimesha-specialize kwenye issue ya ku-deal na arrears tu kwamba ukishakuwa na arrears sababu ya mabadiliko ya mshahara, basi hizo ndiyo imetoka usahau kuzipata. Mimi mara ya mwisho nilipata arrears ilikuwa kabla ya 2012, na baada ya hapo huwa nazisikia tu kwenye bomba hadi leo. Hayo ndiyo maisha ninayoishi na ninasikitika kwamba imefikia hatua hadi nimeyaweka wazi kwenye mtandao; siyo mropokaji wa kiwango hicho. Mimi naomba JPM aukarabati kabisa uchafu huu uliokuwa umekithiri huko nyuma. Huwa inaniumiza sana mimi kuona mshahara wangu unaliwa na mtu mwingine au unatengenezewa mazingira ya kulazimisha kuliwa na mtu mwingine. Halafu ukiangalia taasisi zingine wala hazifanani na mambo kama haya. Mimi kwa kweli siku nikawa nina rungu halafu nikabahtaika kukamata mtu anafanya mambo ya aina hii kama ninayoyalalamikia hapa,...., kwa kweli nitashukuru ila.....
 

Kumbe kunyamaza ni hekima kubwa sana. Ndiyo maana vitabu vitakatifu vinasema - Mpumbavu akinyamaza uonekana kuwa na hekima- Si amini mtu mwenye akili timamu anaweza andika/sema haya
 
Jakaya alikuwa anaongeza japo kidogo 30 mpaka hamsini kwa mwaka. kuna uwezekano jumla ya aliyoongeza jakaya kwa mihula yake yote inaeezekana ikafikia laki 3 na zaidi. ukija kwa huyu bwana yeye kagoma kumuiga Mzee wa msoga na style yake ya ndo ndo ndo si chururu ameamua kutuvizia eti karibia siku za kuchinjolia mtu baharini ndo anawatumia mazombi[emoji83] [emoji83] [emoji196] [emoji216] watuhadae tumishawasoma[emoji196] [emoji241] .
je bwanahuyu ataweza kuvunja au kuvuka kiwango cha ndondondo si chururu kutoka kwa mtangulizi wake Jakaya ?
ALIPE SI CHINI YA LAKI TATU NA NUSU ATAWEZA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukitaka kujua umri wangu angalia post zangu za zamani kuna mahala utapata uzoefu wangu. Anyway Huo usemi unasema "Get Rich or die trying" na huo mwingine ni "Try to get rich or die poor". Hadhira yenye fikra huhitaji msemo moja kujenga picha mujarabu ya mwingine. Philosophia mbaya sana.

Nimekuelewa. Muhtasari wako ni huu. Unaogopa majukumu ya familia.. Ukiwa na familia huwezi kuacha kazi. Ukiwa na familia ni haki yako kudhulumiwa ni sawa maana una majukumu mengi. Upambandaji ni wa bachelors sio wanandoa au wenye familia. Risks ni mbaya kama una familia. You have accepted your fate maana majukumu ni mengi na unafaaa kufa masikini ila umesema "kama una elimu nzuri basi tafuta kazi ingine sio lazima biashara". Only the brave shall survive at last.

Hahahaaa I guess life is NOT Fair.
 

Hayo umeyasema wewe boss. Mm nimesema mafanikio hayapatikani kwenye biashara tu. Unapokuwa cheaf financial admin wa eastern and central Africa wa bank flani hapa Africa unapokea mshahara wenye faida kuliko wafanya biashara wengi tu. Ni hivi biashara si mbaya lakini mafanikio si kwenye biashara tu Zipo ajira zinalipa vizuri sana hivyo huo msemo wa shikilia ajira ufe maskini hauwi sawa wakati wote.
Halafu unatafsiri sana mpaka Unavuka uhalisia. Relax, maisha ni mazuri, usifikiri Sanaa kama unatafuta GPA. Maana unajaribu kwa nguvu kukisia ninachomaanisha halafu unakosea

maelezo yako kwangu kuhusu familia na risk si kweli.Umekosea kwa mbali mno. Lakini isiwe topic. Nimekuelewa, kwa perception yako ya maisha you stand to be correct brother.
 

Nimekuelewa mkuu.. Endelea kutafuta ajira mkuu kwny mashirika ya kimataifa, yenye hadhi yake ili uwe "Cheaf" wao.. Ajira nzuri itakufanya uwe tajiri kuliko kampuni au shirika lililokuajiri (ni rahisi tuu). Zipo ajira nyingi tuu. There is NO limit with ajira nzuri. Utakuwa tajiri na Boss mkubwa mashariki ya kati na mbali. Fanya juhudi mshahara utaongezeka tuu.. Make the owner HAPPY and he shall determine your FATE with his mind and hands. Ukistaafu au Kufariki basi MWANAO umpendae nae atakuwa "Cheaf" wao na atainjoi maisha after then.

I stand to be corrected. I make my own boss and limitlessness..

Alamsiki.
Pamoja sana.
 
Kwanza unakosea kusema natafuta kazi. Sitafuti, pili unakosea kusema the owner shall determine my fate with his mind and fate. Si lazima ukiwa employee uwe mtumwa, unaweza kuwa employee kwa sababu skills zako zinazalisha zaidi kwenye ajira kuliko kujiajiri.
Watoto wanarithishwa elimu na mali, kama mshahara wako unatosha kufanya haya yote kwann ajira iwe utumwa? Embu pumzika mkuu. Narudia tena sijasema biashara ni mbaya Ila si wakati wote ajira inaleta umaskini, unyonyaji au utumwa.
Halafu kwani tunapishana wapi?
Biashara inaweza kuwa nzuri sana kwako Ila mbaya kwa mwingine na ajira pia hivyo hivyo. Mwingine itampa nyumba za kutosha, magari na viwanja mwingine haitampa kitu. Raisi wako mwenyewe ni mwajiriwa. Sasa sijui na yeye fate yake inaamuliwa na waliomwajiri au Unamaanisha nn. Ajira ni Tamu sana kama upo sehemu sahihi na yenye maslahi.
 

Hahahaa.. You are correct. Belief is a wonderful stuff.
 
"Kuna tetesi kuwa ataongeza laki 6" Zilisikika sauti za watu waliodhaniwa ni walevi zikitokea kichakani
 
Nimerudi mwenye thread tafadhali moderator irudishe mikononi mwangu.
 
Uchumi wa Tanzania kwa sasa unapaa kwa sababu ya utendaji na uongozi imara wa Dr MAGUFULI. rais aliyeamua kujilipua kwa ajili ya watanzania. Rais Magufuli ameamua kusimama imara na kwa uwazi kuitokomeza rushwa. kusimamia uadilifu na kujemga miundombinu ya maendeleo katika nchi. ni jukumu letu watanzania kumuunga mkono na kumpa moyo aendelee hivyo hivyo.
ni jambo la baraka sana na la kujivunia kwa nchi yetu na zaidi kukuomba Mungu ampe ulinzi wake ili achape kazi ipasavyo. nasema rais Magufuli chapa kazi, chaaaapa kaaaziiii!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…