SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
nani kapinga wakati kila koment wanapongeza.Wapingaji Tabutupu
Jamani hivi Tanzania hii bado kuna shule za hivi????? Mikoa gani hii??View attachment 1078898View attachment 1078899View attachment 1078900
Hii Ni Shule Ya Msingi Nyahua Iliyopo Wilaya Ya Sikonge Mkoa Wa Tabora
😂😂😂😂😂nani kapinga wakati kila koment wanapongeza.
😂😂😂😂 kwahiyo wamekaa wakashauriana wapike gongo wanywe(pombe), baada ya hapo wakavuta bange ya kushato baada ya hapo wakaamua kuwapoteza/ kuwatia lock(kufuli) watu baada ya hapo wakaenda kuiba 2.4Tril ili wanunue wabunge na madiwani wa upinzani.Kupika gongo ruksa
kuvuta bangi ruksa
upoteaji wa watu
2.4 Tillion
manunuzi ya wabunge na madiwan
Shule sio kliniki😂😂😂Hakuna kusomesha wanafunzi waliopata ujauzito
Kama zile tuition za mikoroshini[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1078896View attachment 1078897
Hii Ni Shule Ya Msingi Mwamashimba, Iloyopo Kata Ya Ushokola wilaya Kaliua Mkoa Wa Tabora. Shule Hii Ina Chumba Kimoja Tu Cha Kudumu Na Chumba Hicho Kinatumiwa Na Wanafunzi Wa Darasa La Saba, Huku Darasa La Kwanza Mpaka La Sita Wanasomea Kwenye Madarasa Ya Nyasi
Hiyo ya pili hata nguruwe anakataa kuishi kabisaView attachment 1078898View attachment 1078899View attachment 1078900
Hii Ni Shule Ya Msingi Nyahua Iliyopo Wilaya Ya Sikonge Mkoa Wa Tabora
Mko wangapi hapa? Wape milioni 10 hawa wagawane!
Mjanja wa Mjini ndo kapinganani kapinga wakati kila koment wanapongeza.